Usipoteze muda kwa vichaaUSA haitegemei WHO ila inaisaidia, vitu viwili tofauti sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipoteze muda kwa vichaaUSA haitegemei WHO ila inaisaidia, vitu viwili tofauti sana.
Tayari zambia, kenya wamefunga baadhiTulisema pia mipaka yetu itafungwa na nchi jirani.
Pathetic ni yule anayefikiri nchi yetu inapambana na korona ipasavyo bila kujua nchi nyingine zenye uzoefu wa magonjwa ya mlipuko zinavyofanya, ni yule anayeweka siasa kwenye hili janga. Vipofu na viziwi wasiona na kujua mipaka yetu inafungwa taratibu na wale tuliowafungulia mipaka eti ili wabebe mizigo yao toka bandari zetu.Pumba ,takataka ,kinyesi ,mavi ya nguruwe,,tupa kule ,hamuwezi na hamtaweza,njama za kifala dhidi ya awamu ya tano,pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe na USA ni sawa ? America ndio sponsor wa hilo shirika,
Marekani äna hiyo muscle though, hata hivyo huu uamuzi wa Marekani umekosolewa vikali pia
Poor you, eti ugonjwa uliletwa na Tz? Bullshit. Neema Njoo hapaMnatengwa kwa lipi? Mtu kufunga mpaka wake unasema katutenga kwani yeye pia si atakuwa amejitenga? Hakuna mtu atajitenga kwenye zama hizi ni uzwazwa tu wa watu wanaofikilia hivyo, ugonjwa utaisha na maisha yataendelea, kwani ugonjwa uliletwa na Tanzania?
Mahitaji gani kwa mfano yalowekwa na WHO ambayo hayajazingatiwa? ushauri upi wa kitaalamu haujahimizwa na viongozi wananchi waufate?
Sent using Jamii Forums mobile app
Povu halitakusaidia kituPumba ,takataka ,kinyesi ,mavi ya nguruwe,,tupa kule ,hamuwezi na hamtaweza,njama za kifala dhidi ya awamu ya tano,pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
MEMBE: KUTENGWA NI ANGUKO LA TANZANIA
"Kukosoa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) na kukataa kushirikiana na washirika wa kimataifa na kikanda katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona itagharimu Tanzania kiunajimu, Waziri wa zamani wa Mambo ya nje wa Tanzania", Bernard Membe alisema.
"Tutanyimwa fedha, utalii utashuka, ndege hazitakuja, wawekezaji wataambiwa wasije Tanzania na tunaweza hata kuwekewa vikwazo," Membe aliambia chapisho hili.
Kila mtu, alionya, hafurahii kwa jinsi Tanzania inavyopambana na janga hili ikiwa ni pamoja na WHO, Viongozi wa Afrika Mashariki, Viongozi wa SADC, Jumuiya ya Afrika (AU), benki ya IMF / Dunia, nchi za Ulaya, Merika na Uchina.
"Ni jambo rahisi tu kuelewa kuwa janga la kidunia kama hili inahitaji suluhisho la ulimwengu. Suluhisho za ulimwengu na kikanda zinahitaji mshikamano na mbinu na mikakati ya pamoja. Tunaonekana tukijitenga, tunalaumu na kutuhumu hata marafiki wetu bora duniani. Tunahitaji kufanya kazi pamoja na ulimwengu kupunguza na kutatua janga hili. Ninamsihi Rais na Serikali kufanya hivyo, lazima tubadilike na kwenda sambamba na ulimwengu! " alisema Membe.
Alitoa wito kwa nchi kufuata kikamilifu mahitaji yaliyowekwa na WHO na kufuata ushauri wa wataalam
![]()
naomba mfano mzuri wa Nchi iliyozingatia miongozo ya WHO na wamefanikiwa kiasi gani kudhibiti COVID119Akihojiwa na DW, waziri wa zamani wa mambo ya nje mheshimiwa Bernard Camilius Membe amesema katika awamu hii ya utawala wa Magufuli, diplomasia imeshuka mno.
Membe anaonya kwamba, tanzania awamu hii inajiendeshea mambo kivyakevyake nje ya utaratibu wa jumuia ya kimataifa.
Akoingelea suala la korona, Membe amedai kuwa Tanzania haiheshimu na imejitenga na miiko ya shirika la afya WHO.
Chanzo: DW
nyungu na kujifukiza vime-backfire saivi hawathubutu kuongelea
Mtu mweusi kweli hajiamini !
Usa kila siku analitukana shirika la afya kuwa linatumika na China
Magufuli kuwa challenges Ndio iwe kosa?
Huyu Baba sijui Kwanini hampendi Rais wetu