Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #41
No matter what!! Hakuna wa kuharibu mission ya wananchi mwaka huu!! Wananchi kwa sauti moja tumeshasema liwake jua, inyeshe mvua Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas LissuTatizo la Act lipo Kwa zitto,hii mission yote anaijua vzr na wala kutoka moyoni hafurahishwi lisu kuwa raisi,zitto ni mnafiki na anajua kinachofanyika Kwa membe toka siku ya kwanza membe kujiunga naye,hata membe kutumwa kuja Act kuibomoa chadema ni mission za zitto.
Mpo hapa mnajitekenya na kucheka wenyewe, wala hutauawa utapigwa tu miguu ipinde na Lissu tarehe 2 November anakimbilia ubelgiji huku nyuma wewe na wenzako mnachechemea kwenye wheelchair. Narudia tena Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. NEVER. Hizi kelele zenu humu zimebakiza siku 7 muufyate. Na mjiandae kisaikolojia mapema.
Mkuu amini usiamini baada ya uchaguzi Lissu alipanga aondoke nchini, Ila ana kesi so watamuwahi kumzuia wameshajua janja yake. Hata ticket aliyofanya booking imeshaonekana. Na naamini wewe Kama Tindo unaujua ukweli kwamba atakayeapishwa Kama Raisi ni nani.Mkuu Lisu atakimbilia Ubeligiji vipi, maana nijuavyo alikwenda kwa matibabu, labda uniambie kama alikuwa huko kabla ya kushambuliwa kwa risasi. Au mtamshambulia tena?
Anajidhalilisha kwa kuwa mtumwa wa Magufuli. Angejiwekea heshima ya kukumbukwa na vizazi vyote vijavyo vya Tanzania endapo angekuwa kwenye team ya ushindi ya mwaka huu ya Tundu Antiphas Lissu!!Membe tuliza boli, ngoma imekushinda. Mwache Lissu achanje mbuga. Picha yako iwepo au isiwepo kwenye ballot paper haisumbui. Ila wewe Membe jihesabu kama marehemu wa kisiasa. Kenge wewe.
Sijawahi kumuamini ZZKHuyo Membe hata kabla hajafukuzwa CCM nilisema kabisa huyo sio wa kumuamini, na wengi wetu tulisema hata akiondoka CCM asipokelewe CDM, na hata akipokelewa asipewe nafasi yoyote, kwani somo la Lowassa lilikuwa bado bichi. Na kweli kaondoka CCM kwa maelekezo maalum, akaenda ACT ambapo alikuwa analazimisha muungano ili yeye ndio awe mgombea kwa maslahi ya CCM. Nashukuru Mungu alipotezewa...
Amejikosesha Heshima ambayo angepewa na vizazi vyote vijavyo vya Tanzania. Akome kutumika na ajue yote watakayofanya na mabwana zake hayawezi badili msimamo wa watanzania kumuweka Tundu Antiphas Lissu ikulu hapo wiki ijayoMembe tuliza boli, ngoma imekushinda. Mwache Lissu achanje mbuga. Picha yako iwepo au isiwepo kwenye ballot paper haisumbui. Ila wewe Membe jihesabu kama marehemu wa kisiasa. Kenge wewe.
Wote wawili wanataka nafasi moja, na wote wapo kwenye karatasi ya kupigia kura lakini mmoja anaambiwa amuunge mkono mwenzake, je maana ya yeye kuwepo kwenye karatasi iko wapi?
Vipi hapo imekuuma?Upinzani tz ni hatari kwa afya ya taifa letu. Membe hela zake zilizuiliwa kuingia nchini kipindi kile ameenda Dubai. Toka wakati huo zitto kamuona membe sio kitu. Mbeligiji nae tunaona mabeberu wanavyomsapoti waziwazi
Tumpuuze aendelee kuota.!Membe tuliza boli, ngoma imekushinda. Mwache Lissu achanje mbuga. Picha yako iwepo au isiwepo kwenye ballot paper haisumbui. Ila wewe Membe jihesabu kama marehemu wa kisiasa.
Watamshambuliaje tena amiri jeshi mkuu. Lissu baada ya Tarehe 28 tu Lissu sio mwenzake , kila kitu chake kinalindwa na PSUMkuu Lisu atakimbilia Ubeligiji vipi, maana nijuavyo alikwenda kwa matibabu, labda uniambie kama alikuwa huko kabla ya kushambuliwa kwa risasi. Au mtamshambulia tena?
Alidhani Tanzania ni Kijiji chake Cha Rondo. Jinga hilo bichwa maji.Tumpuuze aendelee kuota.!View attachment 1606344
Upinzani tz ni hatari kwa afya ya taifa letu. Membe hela zake zilizuiliwa kuingia nchini kipindi kile ameenda Dubai. Toka wakati huo zitto kamuona membe sio kitu. Mbeligiji nae tunaona mabeberu wanavyomsapoti waziwazi
Sasa tu kama hapa JF umeogopa kutumia jina lako halisi..utaweza kweli kulinda kura wewe?Hata waje na vifaru na wale makomandoo wanaovunjaga tofali pale taifa, kura tutalinda, hatuogopiii
Anaona mbilimbili wanafiki washaachiwa laana toka enzi za ManabiiAmani iwe nanyi wadau!
Kwa wapenda mabadiliko wenzangu napenda kuwasalimu kwa furaha sana. Furaha Hii ni kwa sababu Kuu kuwa ile siku yetu muhimu i karibu sana. Tumebakiza siku Saba watanzania tuandike historia kuu, itakayosomwa na kuheshimiwa na vizazi na vizazi...
Mkuu amini usiamini baada ya uchaguzi Lissu alipanga aondoke nchini, Ila ana kesi so watamuwahi kumzuia wameshajua janja yake. Hata ticket aliyofanya booking imeshaonekana. Na naamini wewe Kama Tindo unaujua ukweli kwamba atakayeapishwa Kama Raisi ni nani.
Membe ni kachero yupo kazini