Mimi natangaza upinzani wameshinda Uchaguzi waje hapa ufipa tuwaapishe
Membe ukitowa Lowasa kuhamia CDM na kurudi CCM basi angekuwa na nafasi kubwa ya kuunyaka Urais kwa kupitia uoinzani.
Ajabu hili suala kuna watu wanalifurahia,kuna watu huwa hawasikii mpaka kiwapate cha "mtema kuni"Bila tume huru , upinzani unakufa rasmi nchini Tanzania
Hata mgombea mlevi naye atatadai Tume huru.Mfumo ukishawatupa ndo uona umuhimu wa tume, wakiwa kwenye mirija ya kunufaika Kodi zetu mawazo ya tume huwa likizo.
Hata wa Sasa si ajabu kulilia tume baada ya mirija yao kufikia ukomo,pesa huwa hazitoshi.
Ulevi ni tabia binafsi sawa na uzinzi, ushirikina,wote wanayo haki, tume huru ni kwa faida ya woteHata mgombea mlevi naye atatadai Tume huru.
Ni kweli, lakini siamini kama Tume ya Uchaguzi (Huru au La) inaweza kumsaidia mtu wa aina hiyo kuchaguliwa na jamii inayohitaji kiongozi mwenye sifa za ulevi na uzinzi!Ulevi ni tabia binafsi sawa na uzinzi, ushirikina,wote wanayo haki, tume huru ni kwa faida ya wote
Siasa ni usanii tu. Ni kucheza na alama za nyakati. Mwanasiasa hubadilika kama kinyonga. CDM kusema kama Memve yupo vizuri ni uchochezi tu kwa CCM ili watofautiane. Na kama Membe angegombania CDM ni kuwa angeigawa CCM akapata japo 25% ya kura za CCM na karibu zote za CDM. Plus kwa vile alikuwemo kwenye intelligence system basi angepata kusikia mipango mingi inayopangwa against him. Other than that I can only see him as a KIKWETE's Xerox!Hivi ni mimi tu ambae huwa sio cha maana ndani ya huyu jamaa? Huo ushindi wenyewe anaupataje hata wananchi hawana muda nae, kibaya zaidi hana sera yoyote anayoisimamia tofauti na Lowasa alieamini katika elimu na kuboresha kilimo.
Membe hajawahi kuwa katika nafasi ya kufanya maamuzi na akawaonesha watanzania weredi wake, kwahiyo ukitoa watanzania wa mitandaoni wanaompa kichwa na wapinzani wanaojaribu kuwaaminisha wana CCM kwamba jamaa yupo vizuri, hakuna mtanzania mwingine mwenye muda wa kumuwaza.
Akiki yako tu Infinix .Njaa ikihamia kichwani ni shida tupu.
Nani kakuambia utaishi miaka 1000?
Makaburu walikuwa na akili mbovu kama zako,kiko wapi?
Kabrasha linaonesha hivyo... ama hujaliona bandiko lake Mkuu?Duh.. kwa hiyo viongozi wa vyombo vya dola lzm wawe wana ccm??