Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?

Mwanasiasa uchwara kabisa 2015 alipokua anachuana kura za maoni kulikuwa na Tume huru.
Wengine ni Wanafiki by nature.

Hana sifa ya kuwa Rais bora TL
 
Membe kaishiwa huyu. Kwa nini aligombea mwaka 2015 kama alikuwa anajua kuwa hakuna tume huru na waangalizi wa kimataifa. Yaani wakati ule kila kitu kilikuwa sawa lakini leo ndipo amegundua kuwa mambo siyo sawa? Bure kabisa mtu huyu. Lack of consistency is a clear sign of poor leadrship abilities.
 
Membe ukitowa Lowasa kuhamia CDM na kurudi CCM basi angekuwa na nafasi kubwa ya kuunyaka Urais kwa kupitia uoinzani.

Hivi ni mimi tu ambae huwa sio cha maana ndani ya huyu jamaa? Huo ushindi wenyewe anaupataje hata wananchi hawana muda nae, kibaya zaidi hana sera yoyote anayoisimamia tofauti na Lowasa alieamini katika elimu na kuboresha kilimo.
Membe hajawahi kuwa katika nafasi ya kufanya maamuzi na akawaonesha watanzania weredi wake, kwahiyo ukitoa watanzania wa mitandaoni wanaompa kichwa na wapinzani wanaojaribu kuwaaminisha wana CCM kwamba jamaa yupo vizuri, hakuna mtanzania mwingine mwenye muda wa kumuwaza.
 
Mfumo ukishawatupa ndo uona umuhimu wa tume, wakiwa kwenye mirija ya kunufaika Kodi zetu mawazo ya tume huwa likizo.
Hata wa Sasa si ajabu kulilia tume baada ya mirija yao kufikia ukomo,pesa huwa hazitoshi.
 
Hata mgombea mlevi naye atatadai Tume huru.
 
Miaka yote ambayo Membe alikua kwenye serikali ya CCM akihudumu kama Waziri Wa Mambo ya Nje sijawahi kumsikia akizungumza uhitaji wa kua na Tume Huru ya Uchaguzi. Au labda wakati ule Muundo wa Tume ulikua tofauti na huu wa sasa?
 
Ulevi ni tabia binafsi sawa na uzinzi, ushirikina,wote wanayo haki, tume huru ni kwa faida ya wote
Ni kweli, lakini siamini kama Tume ya Uchaguzi (Huru au La) inaweza kumsaidia mtu wa aina hiyo kuchaguliwa na jamii inayohitaji kiongozi mwenye sifa za ulevi na uzinzi!
 
Hivi ni mimi tu ambae huwa sio cha maana ndani ya huyu jamaa? Huo ushindi wenyewe anaupataje hata wananchi hawana muda nae, kibaya zaidi hana sera yoyote anayoisimamia tofauti na Lowasa alieamini katika elimu na kuboresha kilimo.
Membe hajawahi kuwa katika nafasi ya kufanya maamuzi na akawaonesha watanzania weredi wake, kwahiyo ukitoa watanzania wa mitandaoni wanaompa kichwa na wapinzani wanaojaribu kuwaaminisha wana CCM kwamba jamaa yupo vizuri, hakuna mtanzania mwingine mwenye muda wa kumuwaza.
Siasa ni usanii tu. Ni kucheza na alama za nyakati. Mwanasiasa hubadilika kama kinyonga. CDM kusema kama Memve yupo vizuri ni uchochezi tu kwa CCM ili watofautiane. Na kama Membe angegombania CDM ni kuwa angeigawa CCM akapata japo 25% ya kura za CCM na karibu zote za CDM. Plus kwa vile alikuwemo kwenye intelligence system basi angepata kusikia mipango mingi inayopangwa against him. Other than that I can only see him as a KIKWETE's Xerox!
 
upinzani wa kweli utatoka sisiem, huyu Maembe ni mwenzao ila muasi akipaza sauti na wengine wakaunga na upinzani wakakoleza kelele kuna hatua itapigwa kwenye harakati za kudai tume huru!!
 
Leo ndo unakumbuka TUME HURU?. imekua ukifaidika na ubovu WA Tume iliyopo Kwa miaka yote,, leo ndo unauona UMUHIMU? HUNA Legitimate ya KUDAI TUME HURU ,Acha unafiki. ( TUME HURU NI MUHIMU)
 
Back
Top Bottom