Mkuu PaskaliWanabodi,
Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa
Mimi nigekuwa Musiba ningemlipa tu Membe halafu tuone kama ndio ataupata Urais.Wanabodi,
Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana
Asamehewe.
Paskali
Kweli kabisa. Pia wanasiasa wanatakiwa wavumiliane na kusamehana, na kutokukumbuka yaliyopita ili viongozi wajao wasiwe watu wa visasi na kukomoana. Maana ikiendelea hivi TANZANIA kila kiongozi akiingia atakuwa mtu wa visasi, hivyo hatutoimarika Bali ni kurudi nyuma kimaendeleo na kimtazamo.Wanabodi,
Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani m
Paskali
"UCHUNGU WA MATUSI ALIYEUPATA ALIYETUKANWA, WENGINE NI NGUMU KUHISI MTUKANWAJI ALIUMIA KIASI GANI "Wanabodi,
Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana
Paskali
Apigwe msumari wa motoWanabodi,
Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa
Asamehewe.
Paskali
Mwenye kifuniko cha shingo mwingine huyu hapa.Hata asiposamehe hakuna atakachopata
Ni unafiki na woga wa kidunia bila kumuogopa MunguMbona hao maaskofu hawakumshauri wakati anatoa matusi.
Membe hakuna kusamehe kazia hapo hapo au maaskofu wako upande wake hawafai kuwa wasuluhishi maana anayesuluhisha hastahili kuwa na upande
Well said.Pasco, sio siri kuwa askofu Pengo na Malasusa walikuwa watu wa karibu sana na Magufuli.
Kuna habari (hazina ushahidi) kuwa Musiba alikuwa anatumwa/anamfurahisha Magufuli na utawala wake.
Kiunganishi hiki cha msamaha kati ya marafiki wa JPM na Musiba huoni kinaleta muunganiko mchafu usio pendeza?
Wakati mzee Membe na wenzake wanaambiwa watashughulikiwa hadi makalio yawe makubwa hao unaosema wasikilizwe hawakujua family man Membe anadhalilika kwa uchungu kiasi gani na kumkanya rafiki yao?
Kumbuka Musiba is a judgment debtor, yaani ni mfungwa mtarajiwa.Naona ni kama vile Membe yupo katikati, asiposamehe uwezekano wa kulipwa kile kiasi chote cha pesa na Musiba ni mdogo, au awe tayari kulipwa kidogo, unless Membe awe alishafanya uchunguzi juu ya mali anazomiliki Musiba.
Kama Musiba akishindwa kulipa bado itabidi Membe amgaramie Musiba akiwa gerezani, hii yote naiona mitego kwa Membe.