Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo

Wanabodi,

Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...

Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.

Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.

Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.

Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.

Kila binadamu anastahili a second chance.

Asamehewe.

Paskali
Mwache amkazie haya mambo yanaweza jirudia mbeleni, ni lazima yawekewe mwongozo sasa wangapi wameumizwa na hawajaenda kwa court. Msimuombee msamaha anatakiwa yeye mwenyewe akaombe
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...

Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.

Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.

Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.

Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.

Kila binadamu anastahili a second chance.

Asamehewe.

Paskali
A senior journalist Ana-argue hivi. Yaani unaona hao kina pengo ndo wana hatma ya Membe kwenye suala hili? Who are they btw?
 
Hao maaskofu nao matapeli tu walikua wapi wakati huyo mpumbavu anatukana watu? haohao maaskofu walikua upande wa waliomdhamini musiba sasa leo wanajifanya eti watu wa Mungu kuombea msamaha huyo mshenzi, hata wao tunajua matukio yao sema hautuwezi kuropoka kama huyo wanaemtetea.
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...

Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.

Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.

Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.

Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.

Kila binadamu anastahili a second chance.

Asamehewe.

Paskali
Mkuu,

Membe ni aina ya viongozi wenye 'inferiority complex' ndio udhaifu mkuu anaotumia kutafuta huruma. Kiongozi yeyote mwenye visasi kizazi chake chote hufutika kwa visasi pia.
Ukiangalia kawekeza Mtwara badala ya kuwekeza kwanza kwao Lindi hivyo kuufanya mji wa Lindi kama kijiji cha utalii wa majengo ya kijima kama makuti katikati mji.

Mungu akikuonya usilipize kisasi lakini wewe kama binadamu ukang'ang'ania kwa kiburi chako tu lazima nifanye ninavyotaka mwisho wake sio mzuri. Asifikiri anamkomoa Musiba, anajikomoa mwenyewe na wale wanaomhamasisha kumtenda Musiba siku ikifika watamkana
 
Musiba asisamehewe hata kidogo, hata kama hela haitatosha lkn alipe na aende jela miaka miwili inamtosha .... Mnaomtetea mpuuzi mwenzenu basi fanyeni kumchangia
 
Avune alichopanda hakumtukana membe peke yake aliwatukana viongozi wengi tu wakitaifa na iwe funzo kwa wengine anyooshwe tu wenye vichaa wapo mirembe huyo ni kiburi tu Wacha aone faida ya kiburi na jeuri.
 
Kuna baadhi ya wapumbavu waliopitiliza kwa viwango vya ubora huwa hawastahili msamaha.

At least hatochukua maisha yake.

Membe endelea kukaza
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...

Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.

Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.

Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.

Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.

Kila binadamu anastahili a second chance.

Asamehewe.

Paskali
Huyu maembe aliyegoma kumwita Magu Rais? Alikuwa akimwita John!!!!

Ngoja tuone kama pia Walio nyuma yake watamkubalia.
 
Alitukana wengi hadharani, angalau angeonesha majuto hadharani, awaonbe msamaha wote aliyowazushia mambo ya ajabu ajabu na kuwatukana, tena alie machozi kabisa.

Anakwenda kuanza na zero, na hata kama anayo ajira ya siri basi ajue Membe anaijua vizuri tu.
 
Mkuu,

Membe ni aina ya viongozi wenye 'inferiority complex' ndio udhaifu mkuu anaotumia kutafuta huruma. Kiongozi yeyote mwenye visasi kizazi chake chote hufutika kwa visasi pia.
Ukiangalia kawekeza Mtwara badala ya kuwekeza kwanza kwao Lindi hivyo kuufanya mji wa Lindi kama kijiji cha utalii wa majengo ya kijima kama makuti katikati mji.

Mungu akikuonya usilipize kisasi lakini wewe kama binadamu ukang'ang'ania kwa kiburi chako tu lazima nifanye ninavyotaka mwisho wake sio mzuri. Asifikiri anamkomoa Musiba, anajikomoa mwenyewe na wale wanaomhamasisha kumtenda Musiba siku ikifika watamkana
Mwacheni musiba avune alichopanda nyie kilichomfikisha hapo alipofika ni sheria zetu za nchi tuliumia Sana alipokuwa aliwatukana na kuwadhalilisha viongozi wa kitaifa na iwe mfano kwa wajinga wengine
 
Kaka pascal membe anasema ataki makelele yeye ashamalizana nae huyo mtu mahakamani hapo yeye tu anaizalau mahakama asilipe ana heshimu mahakama alipe kwenda kwa maaskofu ni kupoteza mdah
Nami nimepata wasaa wa kumshauli mh. Membe namwambia hivi shikilia hapo hapo liwe funzo kwa wahuni waliobakia waache matusi kwa wakubwa wao wataumia
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...

Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.

Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.

Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.

Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.

Kila binadamu anastahili a second chance.

Asamehewe.

Paskali
Kaka Paskali, kwenye hili wala sikuungi mkono, na sababu zangu ni hizi hapa chini;

1. Si wewe wala yeyote ndani ya serikali aliyewahi kumkataza Musiba kutukana na kutishia maisha ya watu
2. Wahusika waliokuwa wanatukanwa pekee ndo walikuwa wanamkataza lakini aliendelea kila uchao
3. Alipewa nafasi tatu na Membe za kuomba msamaha, lakini alikaidi sana
4. Iwe funzo kwa wengine ambao wanamtegemea mtu kuwalinda wakati wakiharibu amani au hali ya hewa
5. Matusi ya Musiba, yalileta MISIBA mioyoni mwa wapenda amani. Sasa ili MISIBA hiyo ifutike, basi alipe tu kugharamia gharama za "MAZISHI"

MUSIBA ALIPE, KAMA NI MSAMAHA, BASI APEWE KWA KUMPUNGUZIA KIASI CHA KULIPA
 
Sio kila kosa ni la kusamehe
Sio kila mtu ni wa kusamehe
Sio kila wakati ni kusamehe
Sio kila mahali ni kusamehe
Sometimes Umiza au Lipiza
Asante,atumie jukwaa like lile awaombe kusamehewa na wote aliowachonganisha,aliowatukana,aliowadhalilisha na akitoa mimacho vile vile,na huenda akasamehewa na Allah na malipizi yawe ni kulipa defamations zote.
 
Kweli kabisa. Pia wanasiasa wanatakiwa wavumiliane na kusamehana, na kutokukumbuka yaliyopita ili viongozi wajao wasiwe watu wa visasi na kukomoana. Maana ikiendelea hivi TANZANIA kila kiongozi akiingia atakuwa mtu wa visasi, hivyo hatutoimarika Bali ni kurudi nyuma kimaendeleo na kimtazamo.

MH. BERNAD MEMBE ni kiongozi mstaafu mkubwa sana na kio kwenye jamii, hivyo anatakiwa kuachana nalo hili ili iwe Mfano Kwa wengine wanaopenda visasi. Maana sasa uongozi TANZANIA hatujui mtawala ajae atakuwa na visasi na nani? Na je atakuja na mtazamo Gani?

Ni fumbo kwakweli. MH. BERNAD MEMBE ACHANA NA HILI, SAMEHE NA UTAKUWA UMEWEKA MFANO MKUBWA KWA JAMII NA VIONGOZI WALIOPO NA WAJAO KWA UJUMLA.
Mimi pia namshauli amsamehe tu ila kwashalti moja amsafishe kwenye midia ili owe fundisho kwa wengine
 
Mkuu Pascal Mayalla heshima yako?
haina haja ya kumshauri Membe amsamehe Musiba hili liko wazi. Na hao Maaskofu wao ndio unapaswa kuwashauri waiheshimu Mahakama na Wasiifundishe nini cha kufanya, ina maana kila mkosaji mwenye hadhi fulani katika jamii yetu awe anaombewa msamaha? Huku ni kuishusha hadhi Mahakama. Membe alishapeleka malalamiko yake Mahakamani na Mahakama imekuja kuthibitisha kwamba Musiba ni Mkosaji na anahitaji kulipia gharama.
 
Back
Top Bottom