Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo

Kaka Paskali, kwenye hili wala sikuungi mkono, na sababu zangu ni hizi hapa chini;

1. Si wewe wala yeyote ndani ya serikali aliyewahi kumkataza Musiba kutukana na kutishia maisha ya watu
2. Wahusika waliokuwa wanatukanwa pekee ndo walikuwa wanamkataza lakini aliendelea kila uchao
3. Alipewa nafasi tatu na Membe za kuomba msamaha, lakini alikaidi sana
4. Iwe funzo kwa wengine ambao wanamtegemea mtu kuwalinda wakati wakiharibu amani au hali ya hewa
5. Matusi ya Musiba, yalileta MISIBA mioyoni mwa wapenda amani. Sasa ili MISIBA hiyo ifutike, basi alipe tu kugharamia gharama za "MAZISHI"

MUSIBA ALIPE, KAMA NI MSAMAHA, BASI APEWE KWA KUMPUNGUZIA KIASI CHA KULIPA
Musiba hana kosa
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...

Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.

Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.

Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.

Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.

Kila binadamu anastahili a second chance.

Asamehewe.

Paskali
Musiba na Membe wote ni vichaa,nikikumbuka Membe na kampeni zake za Urais 2020!
Sasa Membe anaogelea Baharini na nguao kaacha ufukweni,anakuja chizi Musiba anachukua na kukimbia nazo,alafu Membe anatoka Baharini mtupu na kuanza kumkimbiza chizi Musiba!
Sasa hapo nani ni mzima?
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...

Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.

Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.

Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.

Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.

Kila binadamu anastahili a second chance.

Asamehewe.

Paskali
Hii nchi haiwezi kuendelea iwapo tutaendelea na mtazamo kama huu wa kwako wa kutaka kulindana, kuoneana aibu, na kuombeana misamaha+kusameheana kwenye mambo nyeti kama haya.

Membe aliumizwa! Na kama huyo Musiba alifanya kwa bahati mbaya, angeomba msamaha kipindi kile kile! Maana alipewa hiyo nafasi. Ila kwa sababu alikuwa anajua anachofanya, aliamua kukaza kamba.

Musiba hakumchafua Membe peke yake! Aliwachafua watu wengi. Ni vile tu hao wengine walichagua kumpuuza. Hivyo kama mahakama imeamua Musiba kulipa fidia, ni vizuri akalipa! Ili iwe funzo kwa wengine. Masuala ya kuoneana huruma kwa sasa hayana nafasi kwa mtu kama Cyprian Musiba.

Binafsi nipo upande wa Mwana jamii forums mwenzetu Mheshimiwa Bernard Membe na familia yake. Na hizo hela zitakazopatikana; ikimpendeza akawasaidie watu wenye mahitaji maalum. Na kwa kufanya hivyo, atamumbukwa daima.
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...

Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.

Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.

Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.

Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.

Kila binadamu anastahili a second chance.

Asamehewe.

Paskali
WATANZANIA WANAFIKI SANA KUSEMA MUSIBA HAKUJUA ATENDALO HUO NI UJINGA WA KIWANGO CHA JUU
NA WANAOMWOMBEA MUSIBA MSAMAHA NAO NI WANAFIKI MUSIBA WAKATI ANAMTUKANA Bw. MEMBE WALIKUWEPO NA MATUSI WALIYASIKIA MBONA HAWAKUMKATAZA MUSIBA? HAO MAASKOFU WOTE TUNAWAJUA WALIKUWA UPANDE WA MAGUFULI NA MUSIBA ALIKUWA ANATUMWA NA MAGUFULI NDIO MAANA HAWAKUMKEMEA MUSIBA
MAASKOFU ACHENI UNAFIKI KUNA ASKOFU MMOJA HAPO ALIWASALITI MAASKOFU WENZAKE KWENYE WARAKA NA AKAKEMEWA NA ASKOFU GWAJIMA
 
Mimi nigekuwa Musiba ningemlipa tu Membe halafu tuone kama ndio ataupata Urais.
Kwanza Ile hukumu imekaa kirushwa rushwa tu, Membe lazima alitoa Mlungula kwa majaji ili amkomoe Musiba.
Kwa akili ya kawaida na upeo wa uyo Jaji aliyetoa hukumu;Musiba na Kampuni yake ya Magazeti Wana pesa au mali yenye thamani ya Bilioni 9!!
 
Nyumba ya Masaki haijatajwa na Tegeta Masaiti, Mtu unakuwa Chawa TU unamiliki Mali zote hizo!! Hakika zipigwe Mnada ni Mali za jasho letu la Kodi!! Ili iwe fundisho Kwa Chawa wote
Kwani yeye Membe Hoteli anazomiliki alizipata wapi?kabla ya kuwa Waziri alikuwa anafanya Biashara gani zaidi ya kuwa mtumishi wa Umma!.
 
Yeye Musiba aende kumuomba msamaha Membe na aombe hadharani hizo swaga za maaskofu ni kulea uovu,aliitwa na mahakama akakaidi akajifanya hagusiki.
Kama Musiba anagoma kuomba msamaha basi ujue na yeye ana back up yake kwenye system,na wana msubiri Membe afanye anachotaka Ili nao wafanye yao.Nadhani Maaskofu wameliona hili ndiyo maana wamemwambia Membe aachane nalo.
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...

Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.

Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.

Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.

Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.

Kila binadamu anastahili a second chance.

Asamehewe.

Paskali
Hao Maaskofu waache unafiki. Wakati anamtukana Membe na wengineo mbona hawakumwambia Musiba amuombe msamaha Membe kabla haya mambo kufika mahakamani? Viongozi wa dini acheni kuingilia masuala ya siasa ya chama twawala badala yake fanyeni kazi iliyo ndani ya miito yenu ya kuwachunga kondoo maana kondoo wengine wameshatawanyika na kuwa mashoga wakati nyie mko bize na mambo ya Musiba na Membe. (Ule wenu msipoihubiri injili. 1Wakorintho 9:16b)
 
yaan ni ujinga kiwango kikubwaa mtu alietukana hadharani kutokuomba msamaha hadharani wanajitokeza machawa kumuombea msamaha kwa vitisho huu si uungwana uungwana wamfuate musiba wamshauri akaombe msamaha
Membe akae chonjo ile Jeuri ya Musiba siyo ya kitoto.Yule jamaa atakuwa na Back up kubwa na ndiyo maana unamuona wala hana habari kabisa na kelele za Membe.
Unajua kifo cha Magufuli kimeleta uhasama mkubwa sana na kuna battle linaendelea chini kwa chini!
 
Kwanza Ile hukumu imekaa kirushwa rushwa tu, Membe lazima alitoa Mlungula kwa majaji ili amkomoe Musiba.
Kwa akili ya kawaida na upeo wa uyo Jaji aliyetoa hukumu;Musiba na Kampuni yake ya Magazeti Wana pesa au mali yenye thamani ya Bilioni 9!!
Kweli kabisa! Eti na Membe amekomaa alipwe halafu anasema Hana shida ya Hela. Kuchanganyikiwa Kuna staili nyingi!
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...

Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.

Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.

Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.

Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.

Kila binadamu anastahili a second chance.

Asamehewe.

Paskali
Wakati msiba anafanya hayo makosa Maaskofu hawakuyaona nakimuombea I'll hayo mapepo yakamtoka?
 
Mkuu,

Membe ni aina ya viongozi wenye 'inferiority complex' ndio udhaifu mkuu anaotumia kutafuta huruma. Kiongozi yeyote mwenye visasi kizazi chake chote hufutika kwa visasi pia.
Ukiangalia kawekeza Mtwara badala ya kuwekeza kwanza kwao Lindi hivyo kuufanya mji wa Lindi kama kijiji cha utalii wa majengo ya kijima kama makuti katikati mji.

Mungu akikuonya usilipize kisasi lakini wewe kama binadamu ukang'ang'ania kwa kiburi chako tu lazima nifanye ninavyotaka mwisho wake sio mzuri. Asifikiri anamkomoa Musiba, anajikomoa mwenyewe na wale wanaomhamasisha kumtenda Musiba siku ikifika watamkana
Hilo la kijijini kwao kulivyo utajua ww lkn tunachotaka kuskia kutoka ss ni musiba kuelekea bank ku deposit hizo bilioni anazodaiwa unless yono watuambie zimebaki siku ngapi wanaingia mzigoni.
 
Mkuu,

Membe ni aina ya viongozi wenye 'inferiority complex' ndio udhaifu mkuu anaotumia kutafuta huruma. Kiongozi yeyote mwenye visasi kizazi chake chote hufutika kwa visasi pia.
Ukiangalia kawekeza Mtwara badala ya kuwekeza kwanza kwao Lindi hivyo kuufanya mji wa Lindi kama kijiji cha utalii wa majengo ya kijima kama makuti katikati mji.

Mungu akikuonya usilipize kisasi lakini wewe kama binadamu ukang'ang'ania kwa kiburi chako tu lazima nifanye ninavyotaka mwisho wake sio mzuri. Asifikiri anamkomoa Musiba, anajikomoa mwenyewe na wale wanaomhamasisha kumtenda Musiba siku ikifika watamkana
Malasusa na shoo ndio mungu wako? skia wewe musiba fanya ulipe hela ya watu.
 
Kama Musiba anagoma kuomba msamaha basi ujue na yeye ana back up yake kwenye system,na wana msubiri Membe afanye anachotaka Ili nao wafanye yao.Nadhani Maaskofu wameliona hili ndiyo maana wamemwambia Membe aachane nalo.
Mbobezi sio mwepesi wa kiwango hicho, anaijua vizur hiyo michezo.

Kama aliweza kumdindia mangula na bashiru pale walipomuita makoa ya chama ccm na kumtaka aombe msamaa kwa crip za kumsema vibaya magu lkn hakufanya hivyo.

Unajua aliwajibu nn wale wazee?

Aliwaambia bila kupepesa macho kwamba " Ni kweli sauti ile Ni yangu lkn tuanzie hapo ni kwa mamlaka na kifungu gani Cha Sheria kinaruhusu nirekodiwe mazungumzo yangu"?

Baada ya jibu hilo bashiru na mangula walifunika faili na kutoka nduki.

Membe sio mwepesi kihivyo na labda humjui vizuri.
 
Na kwanini hawakumuombea Huyo shetani amtoke wakati huo. Ao walikuwa rikizo?
Hapana walikuwa wanamuogopa kinara wa matatizo yote
Walikuwa wanajikomba kwa huyo aliempa kazi ya kutukana na mpaka akawa na mali zote hizo kisa matusi

Nao wana la kujibu mbele ya Mungu wao kwani walikuwa ni wanafiki wa kupitiliza

Huwezi kunyamazia maovu kisa unamuogopa binadamu mwenzio huu ni upumbavu
 
  • Thanks
Reactions: wwg
Wanabodi,

Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...

Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.

Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.

Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.

Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.

Kila binadamu anastahili a second chance.

Asamehewe.

Paskali
Hatupo tayari kuwasamehe sukuma gang maana hata nyie mlitutendea unyama sana
 
Mbona hao maaskofu hawakumshauri wakati anatoa matusi. Membe hakuna kusamehe kazia hapo hapo au maaskofu wako upande wake hawafai kuwa wasuluhishi maana anayesuluhisha hastahili kuwa na upande
Tena mimi leo jioni naenda kumshawishi mzee Membe azid kukaza kamba kabisa.

Hao maaskofu wote ni wanafiki tu.
 
Back
Top Bottom