Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine Musiba akienda mwenyewe kuomba msamaha,yataisha..aeleze aliyekua anamtuma,malengo yalikua nini,nk. Amsafishe aliyemchafua. Sio kusumbua wazee hap.Wanabodi,
Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...
Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.
Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.
Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.
Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.
Kila binadamu anastahili a second chance.
Asamehewe.
Paskali
amesema hana kitu, ama nyumba moja tu ya mil 10 na shamba la urithi ambalo hawezi kuliuza.Kinachotakiwa ni Misiba alipe fedha .
C ndio 🤣🤣sa hii mamb ya ukichaa inatoka wap!!kweli kabisa, si alisema Membe hamuwezi kwa lolote na akaenda mbali kumwambia kama amewashwa basi atangulie mahakamani..... 😀
miaka ya 2004+ wakati nna miaka 10 tu nilianza kuona hili njelemba Musiba kichwani empty...hicho kilikuwa kipindi ambacho channel ten walikuwa wanaonesha mechi mojawapo za UEFA zinazochezwa jumatanoWanabodi,
Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...
Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.
Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.
Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.
Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.
Kila binadamu anastahili a second chance.
Asamehewe.
Paskali
Ujinga huu mnaupataga wapi? WaTz Kwa mamilioni tuliona MH. MEMBE akitukanwa na kusingiziwa mambo ya hovyo yeye na wengine wengi Leo iweje msamaha uombwe kupitia hao watu??Wanabodi,
Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...
Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.
Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.
Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.
Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.
Kila binadamu anastahili a second chance.
Asamehewe.
Paskali
Sukuma gang na wote mliofaidika na utawala ule mje kumuokoa member mwenzenu maana kipindi cha raha mlikula pamoja na kipindi hiki cha dhiki na njaa pia muwe pamoja.Ujinga huu mnaupataga wapi? WaTz Kwa mamilioni tuliona MH. MEMBE akitukanwa na kusingiziwa mambo ya hovyo yeye na wengine wengi Leo iweje msamaha uombwe kupitia hao watu??
Huyo msiba alitakiwa arudi mitandaoni aombe msamaha Kwa uovu aliotenda tena alipaswa kufanya hivyo mapema kabla ya hukumu!! Leo kisa malizake zitapotea ndomnajileta kumuombea msamaha tena kupitia watu KWANI hakutukana kupitia hao watu??
Huyu alikuwa na jopo lawatu nyuma yake wakimtuma kutukana Sasa stoke na jopo lake lite waombe msamaha ama lah basi jopo lake liungane walipe walichoamriwa na mahakama...
Naona watu wa Kanda Fulani wamejileta kuchochea msamaha utoke lkn wakati matusi yanarushwa hamkukemea mlichekelea huku mkikimbilia fomu za kugombea ubunge mkijua aloshika usukani atalazimisha mchaguliwe.
MEMBE NI KIONGOZI IMARA NA SHUPAVU TUNAMWOMBA ASITETERESHWE HILI JAMBO LIANDIKE HISTORIA VIZAZI VILISOME NA KULEWA,KAIDI MMOJA ALIVYOSHUKIWA NA SHERIA KWA KUTUSI WAZEE WETU WASTAAFU NA FUNZO HILI LITASAIDIA WASTAAFU WALOPITA NASISI TUJAO.
MEMBE PLEASE USIRUDI NYUMA MPAKA KAIDI NA NDUGUZE WATAKAPO JITOKEZA MITANDAONI MARA NYINGI IWEZEKANAVYO KUKUOMBA MSAMAHA NA SIO KUTUMIA WATU HUKU WAO WAMEJIFICHA NYUMA YA PAZIA!!!
USISAMEHE MPAKA WARUDI MITANDAONI KUFUTA KAULI NA KUOMBA RADHI KWAYOOOTE MABAYA WALIYOKUTUSI WEWE NA WAHESHMIWA WASTAAFU WENZIO.
Mayala akili zako kama za masalakulangwa - Akili za kufundishwa... Umeshindwa kuombea misamaha watu walio magarezani unahangaika na puuzi lililoshikishwa adabu ili liwe na heshima na pia puuzi lenyewe lisiombe lenyewe Msamaha uliombee wewe pamoja na chawa wenzio hao wanaohangaika kisa mlikuwa timu moja huko CCM... Mayala wewe huna tofauti na huyo unayemuombea msamaha wewe pia Omba Msamaha kwa raia unaotukosea heshima pia nakushauri uheshimu maamuzi ya Mahakama na mwathilika pia muombe msamaha unamkosea sana... Msijifiche kwenye kivuli cha Dini ninyi waovu wakuu... na WazandikiWanabodi,
Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...
Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.
Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.
Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.
Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.
Kila binadamu anastahili a second chance.
Asamehewe.
Paskali
Shida Hana pesa ya kumlipa Membe.Mimi nigekuwa Musiba ningemlipa tu Membe halafu tuone kama ndio ataupata Urais.
Kati ya vitu vya kipumbavu ulivyowahi kuandika , hili ni mojawapo....Wanabodi,
Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipofanya makosa yale, hakuwa yeye, alikuwa ni possessed na demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa akimiliki na akimtumia!, hivyo baada ya kuombewa, mapepo yamemtoka, ametambua makosa yake, ametubu, ameomba msamaha, as a human being, anastahili msamaha, hivyo natoa wito kwa Bernard Membe, amsamehe tuu mtu huyu, hakujua atendalo!, Ila maadam ameombewa msamaha na Maaskofu, Membe ukikaidi maaskofu...
Mimeandika haya, baada ya kusoma mahali humu kuhusu Tetesi: - Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba.
Duh..., kama mwandishi huyu, ambaye mimi nilimuona kama ni mwandishi kilaza, kanjanja na kichaa kabisa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, anamiliki mali kama hizo!, then huyu jamaa ni kichwa sana!. Ametuheshimisha sana, hivyo najiunga na Maaskofu, Membe amsamehe tuu!.
Kitendo cha Membe kutowatii maaskofu kitamgharimu sana!. Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea, hivyo sitaki Membe yamkute ya kumkuta!. Amsamehe tuu huyu kichaa, ameishajirudi, akili zimemrudia!, amekubali kosa, ametubu dhambi zake kwa viongozi wake wa dini, wanamuomba Membe amsamehe, Membe asamehe tuu.
Kumuombea msamaha kichaa huyu, hakuna maanishi naunga mkono ule ukichaa wake aliokuwa akiufanya!, no!, namuombea msamaha wa kibinaadamu tuu kwa kutambua udhaifu wa binadamu ni viumbe dhaifu na kuna wakati binadamu tunafanya makosa bila kujijua hivyo kujikuta mtu ametenda kosa bila kujua atendalo.
Kila binadamu anastahili a second chance.
Asamehewe.
Paskali
Ushauri wangu Musiba sasa aka Msiba, amuombe ushauri Nape, aulizie nyumbani kwa Bernaa... 5km. kabla afike aanze kuangua kilio... Bernaa atamsamehe..Unawezaje kuthibitisha hayo mapepo (kama kweli yalikuwa yalikuwepo) yamemtoka na hayatamrudia huko mbeleni ?
Umemuita 'kichaa' halafu ukamwita tena 'kichwa'....Ina maana kuwa 'kichwa' hakukuepushi kuwa 'kichaa' ?
BERNARD MEMBE USIDANGANYIKE. WAHUNI WA NAMNA ILE WANAPASWA KULIPIA UHUNI WAO. USIMSAMEHE... UKIMSAMEHE MAANA YAKE UNAFUGA UBOVU. ALIPE.Wanabodi,