Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo

Pengine Musiba akienda mwenyewe kuomba msamaha,yataisha..aeleze aliyekua anamtuma,malengo yalikua nini,nk. Amsafishe aliyemchafua. Sio kusumbua wazee hap.
 
Kwanza haina haja kumjadili kuhusu kusamehewa na Membe, huyu Musiba alitakiwa akamatwe. Aminywe korodani atueleze walipo kina Gwada na Ben Saa 8. Akiminywa vizuri anaweza kwenda kutuonyesha hata mabaki ya Marehemu.
 
miaka ya 2004+ wakati nna miaka 10 tu nilianza kuona hili njelemba Musiba kichwani empty...hicho kilikuwa kipindi ambacho channel ten walikuwa wanaonesha mechi mojawapo za UEFA zinazochezwa jumatano

yeye ni shabiki wa Man utd so channel ten walikuwa wanamtumia kama mchambuzi na kama man utd bado hajatolewa mashindanoni ilikuwa lazma channel ten warushe mechi ya man utd tu,tulikuwa tunakereka sana,ila hapo napata picha yeye ndo alikuwa anashinikiza channel ten warushe mechi za man utd...sasa tulipokuwa tunamuona chizi ni vile alivyokuwa anachambua hizo game,utakasirika mwishowe utacheka tu,alikuwa anaongea pumba tupu...tulikuwa wadogo sana ila tulikuwa tunaelewa kwamba njelemba linaongea pumba
 
Ujinga huu mnaupataga wapi? WaTz Kwa mamilioni tuliona MH. MEMBE akitukanwa na kusingiziwa mambo ya hovyo yeye na wengine wengi Leo iweje msamaha uombwe kupitia hao watu??
Huyo msiba alitakiwa arudi mitandaoni aombe msamaha Kwa uovu aliotenda tena alipaswa kufanya hivyo mapema kabla ya hukumu!! Leo kisa malizake zitapotea ndomnajileta kumuombea msamaha tena kupitia watu KWANI hakutukana kupitia hao watu??
Huyu alikuwa na jopo lawatu nyuma yake wakimtuma kutukana Sasa stoke na jopo lake lite waombe msamaha ama lah basi jopo lake liungane walipe walichoamriwa na mahakama...
Naona watu wa Kanda Fulani wamejileta kuchochea msamaha utoke lkn wakati matusi yanarushwa hamkukemea mlichekelea huku mkikimbilia fomu za kugombea ubunge mkijua aloshika usukani atalazimisha mchaguliwe.
MEMBE NI KIONGOZI IMARA NA SHUPAVU TUNAMWOMBA ASITETERESHWE HILI JAMBO LIANDIKE HISTORIA VIZAZI VILISOME NA KULEWA,KAIDI MMOJA ALIVYOSHUKIWA NA SHERIA KWA KUTUSI WAZEE WETU WASTAAFU NA FUNZO HILI LITASAIDIA WASTAAFU WALOPITA NASISI TUJAO.
MEMBE PLEASE USIRUDI NYUMA MPAKA KAIDI NA NDUGUZE WATAKAPO JITOKEZA MITANDAONI MARA NYINGI IWEZEKANAVYO KUKUOMBA MSAMAHA NA SIO KUTUMIA WATU HUKU WAO WAMEJIFICHA NYUMA YA PAZIA!!!
USISAMEHE MPAKA WARUDI MITANDAONI KUFUTA KAULI NA KUOMBA RADHI KWAYOOOTE MABAYA WALIYOKUTUSI WEWE NA WAHESHMIWA WASTAAFU WENZIO.
 
Sukuma gang na wote mliofaidika na utawala ule mje kumuokoa member mwenzenu maana kipindi cha raha mlikula pamoja na kipindi hiki cha dhiki na njaa pia muwe pamoja.
 
Mayala akili zako kama za masalakulangwa - Akili za kufundishwa... Umeshindwa kuombea misamaha watu walio magarezani unahangaika na puuzi lililoshikishwa adabu ili liwe na heshima na pia puuzi lenyewe lisiombe lenyewe Msamaha uliombee wewe pamoja na chawa wenzio hao wanaohangaika kisa mlikuwa timu moja huko CCM... Mayala wewe huna tofauti na huyo unayemuombea msamaha wewe pia Omba Msamaha kwa raia unaotukosea heshima pia nakushauri uheshimu maamuzi ya Mahakama na mwathilika pia muombe msamaha unamkosea sana... Msijifiche kwenye kivuli cha Dini ninyi waovu wakuu... na Wazandiki
 
Kati ya vitu vya kipumbavu ulivyowahi kuandika , hili ni mojawapo....
 
Unawezaje kuthibitisha hayo mapepo (kama kweli yalikuwa yalikuwepo) yamemtoka na hayatamrudia huko mbeleni ?



Umemuita 'kichaa' halafu ukamwita tena 'kichwa'....Ina maana kuwa 'kichwa' hakukuepushi kuwa 'kichaa' ?
Ushauri wangu Musiba sasa aka Msiba, amuombe ushauri Nape, aulizie nyumbani kwa Bernaa... 5km. kabla afike aanze kuangua kilio... Bernaa atamsamehe..
 
BERNARD MEMBE USIDANGANYIKE. WAHUNI WA NAMNA ILE WANAPASWA KULIPIA UHUNI WAO. USIMSAMEHE... UKIMSAMEHE MAANA YAKE UNAFUGA UBOVU. ALIPE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…