Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Haka ka Clip kammuuza sana mzee Pole x 2 popole alipo.
 
Ushauri: Kundi la Mwendazake lijiondoe CCM, maana inavyoonekana CCM inarudi ilikotoka na chance yao ni finyu mno na hili litadhibitika wakati wa uchaguzi mkuu wa chama. Waswahili wanasema kutesa kwa zamu.
 
Bashiru,Polepole mpo wapi?Mwenyekiti kalala Chato. Maisha haya jamani.
Wataongea nini kwanza walikuwa wanachama mamluku watu wa kuja..

Bora na Bashiru ana Kazi ya kufundisha chuo huyo mwingine atafanya Kazi gani? Saizi anatumika kama ndom na wanaompinga mama siku walishindwa wanamtelekeza.
 
Haitakaa itokee ,nani wa kumchagua Majaliwa? Mwambie alete fyoko uone tunavyomtimua.

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hii kauli alitoa nani? πŸ‘‡

 
Mfikishie Salamu mh.Rais SSH mwambie TUNAMPENDA SANA SANA ,ANAWEZA NA ASIOGOPE ASIOGOPE TUTAMSAIDIA.......

-Komredi Bernard Camillius Membe
Jana nimeona kikao cha Rais na watendaji Kuhusu tozo kwanza Maza anajaa kwenye kiti na Sasa wanamuogopa tofauti na mwanzo πŸ˜†πŸ˜†.

Toka awaambie anagombea Urais washakuwa wapole Sana.
 
Jana nimeona kikao cha Rais na watendaji Kuhusu tozo kwanza Maza anajaa kwenye kiti na Sasa wanamuogopa tofauti na mwanzo πŸ˜†πŸ˜†.

Toka awaambie anagombea Urais washakuwa wapole Sana.
Mama ameshaeneaaaa......

Chezea Amiri Jeshi na mwenyekiti wa CCM weweee.......🀣

ADUMU CHIFU MKUU HANGAYA
ADUMU CHIFU WETU MKUU HANGAYA aaamen aaamen πŸ™
 
Haitakaa itokee ,nani wa kumchagua Majaliwa? Mwambie alete fyoko uone tunavyomtimua.

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hii kauli alitoa nani? πŸ‘‡

View attachment 1965143
kwa hiyo ina maana maza bado yupo saana tu ...n'gwe ya kwanza 2025 - 2030 na ya pili 2030 - 2035 aiseee !! Ina maana tunaotaka kujipanga kwa Urais kupitia CCM tujipange kuanzia 2035 laahh, mbona mbali sana wakuu ?
 
Mama ameshaeneaaaa......

Chezea Amiri Jeshi na mwenyekiti wa CCM weweee.......🀣

ADUMU CHIFU MKUU HANGAYA
ADUMU CHIFU WETU MKUU HANGAYA aaamen aaamen πŸ™
CCM legacy tuliwaambia kwamba kwa KATIBA hii watalia sana bila kupigwa - haya sasa Membe huyoo dani ya nyumba - na maza na yeye hadi 2035 mpoo? ukijidai kuhama chama tunakufuata hukohuko uliko afu tuone nani mshindi.
 
Mwendakuzimu gone, Bashiru Ally Kakurwaa Out, Polepole Out, Philip Mangula almost going! And Bernard Camillus Membe still standing tall and rearing to go again!
 
Kwa maneno machache sana Bernard Kamilus Membe anataka kusema yeye bado ni CCM, na watu ambao walikuwa wanamwona kama tishio hawapo tena CCM, au wapo ila hawana mamlaka ya kumzuia tena. Kwa hiyo baada ya hukumu ya hiyo kesi yake na Musiba, anarusi nyumbani. Nami nasema, umechelewa sana, ulitakiwa uwe umerejea siku nyingi sana
 
Na pia Bernad Membe ameonesha explicitly yeye ndani ya CCM yupo kwa kazi moja tu, kwa sasa, ambayo ni kutafuta uraisi kwa udi na uvumba.
 
Bashiru, Polepole na Musiba and company,waliingia kichwakichwa dunia imewageuka ,inawabidi wachutame.
 
Betting imegoma, page ishirini hazifiki!!!
===
Kuna lakujifunza hapa. Viewers wa uzi ni zaidi ya 10,000. Lakini wachangiaji wa mada 200 na ushee! Kuna tatizo gani? Watu kwa nini wanakuwa waoga kutoa maoni? Uhuru wa kutoa maoni upo tuutumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…