Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Natamani wanipe Mimi nimfanyie torturing kenge yule,aliwavunjia heshima kina Kikwete na wazee Wengine wastaafu

Mshamba yule walidhani watabadili katiba jamaa yao aongoze milele watoto wa mjini wakatulia kimya kama hawapo kumbe wapo na sasa wamerudi viongozi wastaarabu hakuna tena matusi kwenye hotuba za viongozi wala hatufokewi hovyo kama watoto wadogo, mambo yako tulivu kabisa
 
Msukule wa magufuli wewe, majaliwa yuko pamoja na Samia, alikuwa Hana amani chini magufuli,
Kamwe hawezi kumsaliti mama, sukuma gang mtalimia meno
Umeshakula mihogo ya kukaanga hapo lumumba st? Au ulikuwa unasubiri niandike ili ujibu na kuongoza buku Saba ndio ukale? Acha mkurupuko wa kipimbi! Rudia kusoma hoja kabla ya kukurupuka! Na huenda hujui kinachoendelea chini ya kapeti kumhusu huyo unayemtetea humu! Eti hawezi kusaliti! Unadhani Ile kauli yake kule msikitini Njombe ilimtoka TU Kama ushuzi wa MLA kande? Taga utataga TU, ni suala la muda!
 
Huyu mzee vipi? Eti kampeni za uchaguzi 2025; yaani matatizo yote ya nchini tulìyonayo yeye priority yake ni kazi ya ukampeni manager ?

Hawa ndiyo wazee tunaowategemea kuàngalia utoaji wa haki katika mifumo yote ya utawala, wanafikiri uchaguzi ambao Tume hiyo hiyo, mifumo hiyo hiyo ikamfanya mzee asifanye hata mkutano mmoja wa kampeni.
 
Sio kweli! Kuna watu wanakupinga nakukukoromea na wala huwezi wafanya kitu!

Magu na ubabe wake,alikua anafunga break kwa Ben na Pengo! Ben alikua na uwezo wakumchimba biti Jonh na akatulia!

Ben hakuwahi Mwita Magu Mh Rais,alikuaga anamwita John!
Magu alikuwa anamuogopa Makonda na Sabaya tu ndio zilikuwa injini zake zakuonea watu.
Ben Wil. Mkapa aliwahi kumuonya Mwendazake asiseme serikali ya Magufuli bali aseme serikali ya CCM ila Magu na genge lake wakamvimbia.
Na kifo cha Ben JK alilia sana maana alihisi vijana wa Mwendazake wamefanya yao.
 
Kam
Salaam Wakuu,

Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.

Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".

Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964176
Hon. Bernard K. Membe​
Mnafiki na muongo mkubwa sio hjawahi kuhama bali alifukuzwa,CCM sio baba yake na sio chama chake , na yeye sio Mungu aache dhihaka naeipo siku atandoka, alifukuzwa akaend ACT na kugombea uraisi, kama angekuwa CCM angegombea kupitia ACT, naoana mnarudi Mungu anawaona.
 
Salaam Wakuu,

Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.

Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".

Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964176
Hon. Bernard K. Membe​
Comrade Membe, Kachero Mbobezi, karibu tena CCM.
Hukuwahi kuondoka!
 
Magu alikuwa anamuogopa Makonda na Sabaya tu ndio zilikuwa injini zake zakuonea watu.
Ben Wil. Mkapa aliwahi kumuonya Mwendazake asiseme serikali ya Magufuli bali aseme serikali ya CCM ila Magu na genge lake wakamvimbia.
Na kifo cha Ben JK alilia sana maana alihisi vijana wa Mwendazake wamefanya yao.
Usigeuze kibao mkuu kwa kusema uongo
 
Na wewe Crimea ni mtoto wa Ibilisi pia, mwanaizaya usiye na haya
Mjinga mkubwa!

Hao kina Membe ndio tuliaminishwa na kina Lisu kwamba wamefisadi hii nchi, leo mataahira kama nyie mnawaona wa maana?

Unafikiri ataeumia ni Magufuli na familia yake?

Ni bibi, babu na mama zako kule kijijini wanaoliwa na umasikini
 
  • Thanks
Reactions: nao
OOgopaaa MTU ANAEMTEGEMEA MUNGU KILA SIKU HUWA APIGANI ANAPIGANIWA NA MUNGU NILILAANI SANA TUKIO LA KUMFUKUZA HON MEMBE

NAOMBA MAHAKAMA ITOE HUKUMU KALI KWA MUSIBA IWE FUNDISHO KWA CHAWA WOTE WANAOTEGEMEA BIN-ADAMU BADALA YA MUNGU

#WOTEMSEME AMEN
MSIBA/MUSIBA UNALO HATA FATTY AJAKAZIA HUKUMU UNALO 12 OCTB...YAANI JIANDAE KUMHESHIMU MUNGU UENDAKO
 
Back
Top Bottom