Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Hakika Mwendazake ametupitisha kwenye BONDE LA UVULI WA MAUTI. Muache a REST IN HELL yule Ibilisi mkubwa.

Yasemekana bado Mwendazake yuko mlangoni na kiroba chake Shetani hajui amuweke wapi maana dhambi zake zinamtisha hata Shetani mwenyewe
Ibilisi ni mamako aliekuzaa
 
kw
Jamaa alikuwa na roho mbaya sana. Wapambe walisumbua sana. Nao ni muda wa kuwapoteza Kama walivyopotezwa wazalendo wengine
Kwa hiyo anayepoteza wafuasi wa magufuli ana haki ya kufanya hivyo na ana roho nzuri ..kwa mkabala huo unamaanisha mzalendo ni yule aliye na itikadi sawa au mlengo sawa na wewe ?sasa haki huwa iko wapi kama wote mnafanana uovu tofauti zenu ni majira ya kutenda uovu
 
Ndio watu wajifunze siasa za chuki na kushusha heshima watu hazifai, Musiba alitukana sana wazee na wastaafu bila aibu sasa hivi atakua anajinyea huko no backup mjini limebakibaki tu kama poyoyo
 
Unaumiaje? Keshokutwa atatema nyongo na ndipo mtakapotambua kuwa kusini Wana jambo lao 2025! Majaliwa ni game changer baada ya mama kujipigia promo Kwa kina mama wenzake kumbe midume inamchora TU Kiana! Tambua hilo mataga one kuwa hakuna kaskazini Wala Kanda pendwa!
Wewe Ni Msukule wa magufuli , majaliwa yuko pamoja na Samia, alikuwa Hana amani chini magufuli,
Kamwe hawezi kumsaliti mama, sukuma gang mtalimia meno chini ya Samia
 
Salaam Wakuu,

Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.

Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".

Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964176
Hon. Bernard K. Membe​
Waliompokea act wako wapi?
 
Back
Top Bottom