Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Siasa za kitanzania ni za kijinga na kipumbavu sana...........Hawa wanasiasa chumia tumbo tumewachoka maana wamejaa ubinafsi na kujali maslahi yao wenyewe
Marehemu hatukanwi wala kusemwa vibaya. Hiyo ndio mila ya kiafrika mkuu
 
Hii nchi ukipata Urais wewe ndio untouchable
Unadhani uraisi unakupa nguvu? Yaani ukisema leo vita basi ni vita kweli?

Crown does not give you power.

Uraisi Ni sawa na kupewa ufunguo wa mlango usioujua.

Inatakiwa ukishapewa funguo wenye jukumu la kukupa nguvu washirikiane na wewe wakupeleke kwenye mlango sahihi ukaufungue.

Ukishindwana nao wao wanajua namna ya kufanya ukabaki na funguo bila mlango.

Refer to Mugabe case.

Hata uwe diktator vipi ukipatana na system inayotakiwa kukupa nguvu basi utadumu sana kwenye utawala.
 
Siasa ni kazi ya hovyo kuliko upolisi, kama hajawahi kujitoa CCM aligombea urais kupitia ACT Wazalendo huku akiwa mwana CCM?
Hoja yake ni kwamba alifukuzwa kimizengwe...
 
Sijui Bashiru na Polepole wanajisikiaje mida hii.!
Wanajikausha kama mahabidhi....vile umungu mtu wa Magu sasa aibu kubwa kwso.....aibu sana kusujudu mwanaume mwenzio kisa tumbo
 
Salaam Wakuu,

Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.

Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".

Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964176
Hon. Bernard K. Membe​
Mzee wa niguse ninuke
 
Wote hawa ni watu wa hovyo tu. Hakuna cha Kikwete, Membe wala Musiba. Kinachowatofautisha ni nani yuko kwenye mamlaka na ni nani yuko benchi. Wanachezea watu wasio na akili tu.
Unajichanganya mtu wa hovyo na bado ana uwezo wa kuwachezea akili? He who laughs at the end is the winner jombaa...
 
Kumbe Membe hakugombea urais 2020? Dishi limeyumba.

Membe alifukuzwa na kamati kuu ya ccm ambayo Samia ,Majaliwa, Mangula bado wapo.
Acha uwongo jombaa, kama huelewi mambo bora ukae kimya...
 
Siasa za kitanzania ni za kijinga na kipumbavu sana...........Hawa wanasiasa chumia tumbo tumewachoka maana wamejaa ubinafsi na kujali maslahi yao wenyewe
Nyie si mmekaa pembeni na kuwaachia wapinzani hawahangaike wenyewe eti kwa sababu wana njaa?
 
Siasa ni kazi ya hovyo kuliko upolisi, kama hajawahi kujitoa CCM aligombea urais kupitia ACT Wazalendo huku akiwa mwana CCM?
Yuko sahihi.

Hajasema kuwa hajawahi kutokuwa mwqnachama wa CCM bali kasema hajawahi kujitoa CCM kwa maana ya kuwa ulifanyika ubabe kumfukuza tu na sio latoka kwa ridhaa yake.


Ni sawa na mtu aseme "sijawahi kumkataa yule mqanamke" lakini wameachana,hiyo mqana yake wameachana kwa msukumo wa huyo mwanamke mwenyewe.
 
Siasa ni kazi ya hovyo kuliko upolisi, kama hajawahi kujitoa CCM aligombea urais kupitia ACT Wazalendo huku akiwa mwana CCM?
CCM hakujitoa ila walimfanyia fitina wakamtoa ili asigombee Urais kupitia CCM
 
Ndiyo siasa ilivyo, very dynamic and unpredictable... Unaangalia upepo unavyovuma. Hivi kwa akili yako Membe na Majaliwa wanaweza kuwa real enemies?

hii kete mpaka leo wale ndugu zetu wamepigwa pazia...Draft inapochezwa hupaswi kutumia nguvu unapaswa kusukumu kete kwa akili pia huku ukiwa na akiba ya next push....
 
Ha ha haaa! Ila ninyi wakuu, wakuvulia kofia. Nikikumbuka kauli yako ya 'Twende na Mbobezi -2021', naishiwa 'sura'. h aha haaa!.
Sijawahi kujitoa ccm
IMG-20211005-WA0068_1.jpg
 
Back
Top Bottom