Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

"Niguse ninuke"......akaguswa harufu watu hawaielewi....( unatakiwa uwe umekomaa kuelewa namna gani BCM amenuka baada ya kuguswa)...
 
Naandika nafuta naandika nafuta, Mungu awasamehe wote…
 
Salaam Wakuu,

Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.

Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".

Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964176
Hon. Bernard K. Membe​
Kumbe Mzee membe bado anataka kuinyoosha Mwanaharakati Huru Musiba
 
Siasa ni kazi ya hovyo kuliko upolisi, kama hajawahi kujitoa CCM aligombea urais kupitia ACT Wazalendo huku akiwa mwana CCM?
ilisemwa ACT-Wazalendo ni CCM B
 
tunaelekea kwenye siasa mbaya sasa...gang likishika hatamu inabidi litoe kila roho kila adui maana ukiziacha baadhi ya roho na kuamini una miguvu zinaweza kukurudia na kukufagia...sasa tunaingia new era, gang moja likishika hatamu ni kutoa roho kabisa adui na sisimizi wote....
 
What? Untouchable? Magufuli na kundi lake wako wapi? Hujui hata Kikwete na kundi lake nalo walishadidimizwa ila wameibuka kizalizali? Pia hujui mambo yanaweza kubadilika tena wakajikuta wako sehemu mbaya kuliko hata mwanzo?
Hii nchi ukipata Urais wewe ndio untouchable
 
Salaam Wakuu,

Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.

Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".

Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964176
Hon. Bernard K. Membe​
Huyu jamaa angekuwa hata waziri mkuu,nchi ingependeza sana
 
"Niguse ninuke"......akaguswa harufu watu hawaielewi....( unatakiwa uwe umekomaa kuelewa namna gani BCM amenuka baada ya kuguswa)...
Ha ha ha unataka useme BCM ndio alioweka nyongo ya mamba kwenye glass ya Mwendakuzimu?
 
Nyalandu, kisha rudi sijui kapotelea wapi?

Lowassa alijisalimisha kwa shetani ili asikose mlo, kaishia kusherehekea tukio na vodka!

Waziri mkuu wa Mkapa,..., alisharudi?

Makamba wote wawili majeraha yamepona, kazi inaendelea...?

Kinanaje? Ni mwendo wa kimya kimya.
 
jasusi mbobezi bana aaaaaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Salaam Wakuu,

Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.

Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".

Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964176
Hon. Bernard K. Membe​
Musiba ana hali ngumu sana,ndo tatizo la kutumika kama bigG
 
Back
Top Bottom