Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Kuna issue itakuwa inafichwa ...ili tuamishie macho na masikio huku! Akina Gwajima wawili bado wapo unadhani kwa nini kimya muda huu. Ha ha haaa! Habari za hapa ni burudani tosha ha haaaa!
Hili la kudhani serikali hguwa ina tabia ya kuficha mambo kwa kuhamisha mijadala huwa sikubaliani nayo kabisa. Waogope nini kwa wananchi ambao asilimia 90 ni kama misukule au ndondocha? Hivi hata serikali ikiamua kunyonga raia 100 kila mkoa bila kosa lolote, wananchi walivyo waoga wana uwezo wa kufanya nini?
 
What? Untouchable? Magufuli na kundi lake wako wapi? Hujui hata Kikwete na kundi lake nalo walishadidimizwa ila wameibuka kizalizali? Pia hujui mambo yanaweza kubadilika tena wakajikuta wako sehemu mbaya kuliko hata mwanzo?
Kama ww si mtu wa kubishana kwa nia ya kubishana tu, utakubaliana na mm kuwa Kufuta system imara na watu wake walioiweka si jambo jepesi. Ni almost impossible war to win.
 
Kama ww si mtu wa kubishana kwa nia ya kubishana tu, utakubaliana na mm kuwa Kufuta system imara na watu wake walioiweka si jambo jepesi. Ni almost impossible war to win.
Haya ni maoni yako. Na umetumia ''akili za kitanzania'' kufikia hitimisho. Historia inaonyesha kulöikuwa na system zenye nguvu na zilifutika na walioziweka kama bonge la barafu linavyoyeyuka.
 
Ndiyo utakapokujua kuwa CCM bila unafiki haiendi. Magufuli angekuwa hai Majaliwa angekuwa na ubavu wa kumsimamisha Membe kwenye mkutano wake azungumze?
Hakuna unafiki katika siasa.....

Huo unaouita unafiki inawezekana huuoni sana huko CHADEMA kwa kuwa tu hawana dola......

#SiempreJMT
 
Huyu Membe pamoja na kusifiwa au kusifika kuwa ni jasusi mbobezi, lkn alishindwa mission na mzee Lowasa ya kuusambaratisha upinzani nchini kupitia akili kubwa na tamaa ya viongozi wa upinzani. Katika watu waliopewa mission ya kuusambaratisha upinzani toka nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi, basi Lowasa amefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno tena katika muda muafaka ambao kuna watu walijidanganya kuwa mwenyekiti wa chama tawala wakati huo na mbobezi wa siasa za vizazi vyote mh JK chama kingemfia mkononi. Sasa matokeo yake wao ndio vyama vyao vimewasambaratikia mikononi yan hakuna cha ukawa wala uchawa. Big up mwenyekiti mstaafu mzee JK&Lowasa na pole kwa viongozi wa upinzani. Tamaa ilimponza mbuzi kwa kuwekewa chumvi akijua unga.

View attachment 1964118

View attachment 1964122
Umeelewa ulichoandika kweli?
 
Salaam Wakuu,

Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.

Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".

Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
Siasa
 
Ni kwa sababu ya mfumo imara wa chama. Chama kinao uwezo wa kumuandaa mwanachama yeyote kuwa rais wa nchi. Kwa hiyo, usibeze chama hicho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So jiwe naye aliandaliwa?
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mtama kwa tiketi ya ccm avutiwa na mama Samia.

Ndugu Bernard Membe amesema kuwa amevutiwa na utawala wa mama Samia .

Anafikiria kurudi ccm kuwa kampeini meneja wa mama Samia kwenye uchaguzi wa 2025.

Lkn hiyo itategemea hukumu ya kesi yake tarehe 12.10.2021.

Je wana ccm mpo tayari kumpokea mwana mpotevu?
swahilitimes_20211005_1.jpg
 
Hakuna unafiki katika siasa.....

Huo unaouita unafiki inawezekana huuoni sana huko CHADEMA kwa kuwa tu hawana dola......

#SiempreJMT
Mh.. wewe unadhani mimi ni mjinga kiasi cha kuamini kuwa Chadema ni wakamilifu kama malaika? Hell NO! Nikupe somo: Wanasiasa au niseme binadamu yoyote anakuwa at-ease mpaka apte changamoto. Hii ni nature yetu binadamu. Bila kujali nchi inaongozwa na chama gani, kama wananchi wa kawaida hawatakuwa wakali kuwasimamia viongozi wao basi nakuhakikishia kuwa viongozi hawatawajibika. Na hili ndilo tatizo la Tanzania. CCM hii hii kama wananchi wangekuwa wakali kutovumilia uzembe na ufisadi, inaweza kufanya vizuri sana.
 
Wote hawa ni watu wa hovyo tu. Hakuna cha Kikwete, Membe wala Musiba. Kinachowatofautisha ni nani yuko kwenye mamlaka na ni nani yuko benchi. Wanachezea watu wasio na akili tu.
Acha kuchekesha mkuu!

Hapo kuna wa kumlinganisha akili na musiba kweli?

Musiba alikuwa ana match akili na mwendazake tu. Wengine unawaonea kabisa!
 
Back
Top Bottom