Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Salaam Wakuu,

Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.

Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".

Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
Anasubiri Bingo toka kwa Musiba, akiipata yeye na CCM basi, ni njaa tu.
 
Magufuli alimfanyia figisu Membe,hatma yake kafa ,kawaacha watu wanakula bata Kama kawaida,

Mzee alikuwa na chuki sana
Hakika Mwendazake ametupitisha kwenye BONDE LA UVULI WA MAUTI. Muache a REST IN HELL yule Ibilisi mkubwa.

Yasemekana bado Mwendazake yuko mlangoni na kiroba chake Shetani hajui amuweke wapi maana dhambi zake zinamtisha hata Shetani mwenyewe
 
Niguse unuke! Wakati wa JPM ukimgusu hanuki mtu! Sijui itakuwaje! Huenda mtu atanuka.
 
Acha kuchekesha mkuu!

Hapo kuna wa kumlinganisha akili na musiba kweli?

Musiba alikuwa ana match akili na mwendazake tu. Wengine unawaonea kabisa!
Muulize hao aliowataja wenye madaraka ambao hawana akili hayo madaraka wanayapata kutoka kwa watu wasio na akili au wenye akili kuwazidi?
 
Nakumbia trust me. Wote ni sawa. Musiba unadhani hana akili? Alikuwa anajitoa akili kwa sababu ya ulaji. Na Kikwete na Membe ni hivyo hivyo.
Mkuu,unaweza kuwa na hoja. Watanzania wengi njaa zinawatoa akili kabisa.

Kiwango cha maadili cha watanzania ni cha chini mno!
 
Ni fursa tuu, hajabambikia mtu kesi au kuteka watu na kuwapoteza, ni haki yake kubadilisha chama...neeeeext!
 
Haya ni maoni yako. Na umetumia ''akili za kitanzania'' kufikia hitimisho. Historia inaonyesha kulöikuwa na system zenye nguvu na zilifutika na walioziweka kama bonge la barafu linavyoyeyuka.
Nakukumbusha tu kuwa kabla hizo system hazijafutika walifutika wengi ndipo wewe ukasoma hadithi za kufutika kwa system.

Uwe makini kabla hujajibu na akili zako zisizo za kitanzania, sijakuambia haiwezekani kufuta sytem, nimesema si jambo jepesi, ni almost impossible war to win.
 
Sijui Bashiru na Polepole wanajisikiaje mida hii.!
Siasa lazima utumie akili sana na ukitumia emotions au moyo to support mwanasiasa au kufanya maamuzi lazima utajuta siku moja, wanasiasa wazuri mara nyingi wanatumia ubongo wao kufikiria na kufanya maamuzi na ndio maana wanadumu muda mrefu, hao jamaa inaonekana waliweka mapenzi na ushabiki mwingi bila kutumia akili
 
Huyu kamkalia kooni musiba 😂😂

Ova
 
Back
Top Bottom