Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa aliahidi bao dakika ya 95 ya mchezo, na kweli akaja kulipata. Kwa hilo tu nampa heshima yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa aliahidi bao dakika ya 95 ya mchezo, na kweli akaja kulipata. Kwa hilo tu nampa heshima yake.
Wataongea nini kwanza walikuwa wanachama mamluku watu wa kuja..Bashiru,Polepole mpo wapi?Mwenyekiti kalala Chato. Maisha haya jamani.
Haitakaa itokee ,nani wa kumchagua Majaliwa? Mwambie alete fyoko uone tunavyomtimua.Unaumiaje? Keshokutwa atatema nyongo na ndipo mtakapotambua kuwa kusini Wana jambo lao 2025! Majaliwa ni game changer baada ya mama kujipigia promo Kwa kina mama wenzake kumbe midume inamchora TU Kiana! Tambua hilo mataga one kuwa hakuna kaskazini Wala Kanda pendwa!
Wako lupango na wengine wameolewa huko na wazungu 😆😆Vipi waliomfukuza Zitto?
Jana nimeona kikao cha Rais na watendaji Kuhusu tozo kwanza Maza anajaa kwenye kiti na Sasa wanamuogopa tofauti na mwanzo 😆😆.Mfikishie Salamu mh.Rais SSH mwambie TUNAMPENDA SANA SANA ,ANAWEZA NA ASIOGOPE ASIOGOPE TUTAMSAIDIA.......
-Komredi Bernard Camillius Membe
Mama ameshaeneaaaa......Jana nimeona kikao cha Rais na watendaji Kuhusu tozo kwanza Maza anajaa kwenye kiti na Sasa wanamuogopa tofauti na mwanzo 😆😆.
Toka awaambie anagombea Urais washakuwa wapole Sana.
😍Jana nimeona kikao cha Rais na watendaji Kuhusu tozo kwanza Maza anajaa kwenye kiti na Sasa wanamuogopa tofauti na mwanzo 😆😆.
Toka awaambie anagombea Urais washakuwa wapole Sana.
kwa hiyo ina maana maza bado yupo saana tu ...n'gwe ya kwanza 2025 - 2030 na ya pili 2030 - 2035 aiseee !! Ina maana tunaotaka kujipanga kwa Urais kupitia CCM tujipange kuanzia 2035 laahh, mbona mbali sana wakuu ?Haitakaa itokee ,nani wa kumchagua Majaliwa? Mwambie alete fyoko uone tunavyomtimua.
😆😆😆 Hii kauli alitoa nani? 👇
View attachment 1965143
Mara ngapi sasa... 😛 😛CCM hata akigombea Kingwendu anaweza akawa Rais.
CCM legacy tuliwaambia kwamba kwa KATIBA hii watalia sana bila kupigwa - haya sasa Membe huyoo dani ya nyumba - na maza na yeye hadi 2035 mpoo? ukijidai kuhama chama tunakufuata hukohuko uliko afu tuone nani mshindi.Mama ameshaeneaaaa......
Chezea Amiri Jeshi na mwenyekiti wa CCM weweee.......🤣
ADUMU CHIFU MKUU HANGAYA
ADUMU CHIFU WETU MKUU HANGAYA aaamen aaamen 🙏
Mwendakuzimu gone, Bashiru Ally Kakurwaa Out, Polepole Out, Philip Mangula almost going! And Bernard Camillus Membe still standing tall and rearing to go again!Salaam Wakuu,
Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.
Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".
Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
Bernard K. Membe
Kwa maneno machache sana Bernard Kamilus Membe anataka kusema yeye bado ni CCM, na watu ambao walikuwa wanamwona kama tishio hawapo tena CCM, au wapo ila hawana mamlaka ya kumzuia tena. Kwa hiyo baada ya hukumu ya hiyo kesi yake na Musiba, anarusi nyumbani. Nami nasema, umechelewa sana, ulitakiwa uwe umerejea siku nyingi sanaSalaam Wakuu,
Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.
Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".
Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
Bernard K. Membe
Umemsahau Mheshimiwa Mungu... wa jalalani...Kabudi...takatakaBashiru na Polepole huu uzi utakuwa mchungu sana kwao. Magufuli kwao alikuwa ni zaidi ya mungu.
Hapo chachaSiasa ni kazi ya hovyo kuliko upolisi, kama hajawahi kujitoa CCM aligombea urais kupitia ACT Wazalendo huku akiwa mwana CCM?
Jitahidi kupata darasa lake. Shule ya Uongozi. Ha ha haaa!Polepole