Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ungemsikiliza Membe jana ungesikia kuna baadhi ya mambo aliyoongea yalikuwa yana make sense. Mengine yalikuwa kama kibwagizo tu. Anasema anasubiri dk za mwisho aje afunge goal dk ya 89. Ndo atakapoingia na kufunga goal la ushindi.
Nimeangalia katika list ya wachezaji first 11 hayupo. Kwa wale walio bench nako hayumo. Nmefuatilia mazoezi nikakuta amefanya mazoezi mara mbili tu toka asajiliwe zaidi ya mwezi uliopita.na ameonesha kiwango cha chini sana mazoezini.
Kiasi kwamba Coach hajamweka hata kwenye list ya wachezaji wa akiba.na hata team inapoenda kucheza hayumo kwenye wachezaji wanaoenda na team. Najiuliza atacheza akiwa jukwaani na kufunga goli huko? Kuna shida sehemu.