Bernard Membe yupo kweli?

Membe anajua anachokifanya, na anajua muda wa kampeni bado, na anajua kuwa kufanya kampeni kabla ya wakati madhara yake ni nini. Ndio maana hata Magufuli hafanyi kampeni.
 
Membe ni Simba mwenda pole ila lazima ale nyama.
Nyinyi ndiyo mnamchuuza mzee wa watu. Wabongo nuksi sasa kabaki peke yake lakini wakati hajahama walimwambia tangulia mzee tuko nyuma yako tunakuja.
 
Huyo jasusi bado hajaonja joto ya jiwe ya kuwa upinzani!

Siku atayopewa msukosuko atarudi mwenyewe CCM bila kupenda.

Kwasababu ya wanaccm wengi kutegemea vyombo vya dola kufanya siasa, inakuwa vigumu sana wao kufanya siasa nje ya mbeleko ya vyombo vya dola. Ukweli mchungu ni kuwa ACT ina nguvu Zanzibar kwa sababu ya Maalim Seif, ndio maana ACT ilifanya shamra shamra huko Zanzibar ili kujenga taswira ya kukubalika kwake. Kwa huku bara ACT ina ushawishi mdogo sana, ndio maana ACT inahofia kufanya shamrashamra za Zanzibar kwani watavunjika moyo.

Zito anang'ng'ania muungano na cdm maana anajua wazi kwa huku Bara wapiga kura wa kweli wa upinzani wako cdm. Na anafahamu wazi wafuasi wa Cdm hawayumbi ndio kinachoonekana kwenye mizunguko ya awali ya Lisu. Kwa mtu kama Membe anayeongea kama yuko chumbani, ACT wanajua kabisa akija na speed kama ile ya Zanzibar itakuwa aibu. Kimsingi Zito ndio alipaswa kugombea urais kupitia ACT, na sio huyo Lowassa wa Lindi.
 
Taja matusi anayotukanwa magufuli na sisi tuyajue hata kama anayetukana sio lissu wala mbowe, sisi tunatamani tufahamu hayo matusi
😄 Wewe ni hakimu wa kesi hii siyo?
Sasa mh hakimu, sitaji, na nione utanifanyeje!!
 
Taja matusi anayotukanwa magufuli na sisi tuyajue hata kama anayetukana sio lissu wala mbowe, sisi tunatamani tufahamu hayo matusi
😄 Wewe ni hakimu wa kesi hii siyo?
Sasa mh hakimu, sitaji, na nione utanifanyeje!!
 
Mkuu, nikiyataja si nitakuwa nimetukana tena? Kwa kweli staji mkuu
 
Membe anajua anachokifanya, na anajua muda wa kampeni bado, na anajua kuwa kufanya kampeni kabla ya wakati madhara yake ni nini. Ndio maana hata Magufuli hafanyi kampeni.
Dogo tuseme hili mara ngapi ili uelewe? Tume bado haijapitisha wagombea, kwahiyo hakuna kitu kama hicho. Ni propaganda za WAHUNI WACHACHE huko CCM, umeelewa sasa?

ITOSHE TU KUSEMA, MITANO YA UTAWALA HUU WA MKONO WA CHUMA SASA BASI..
 
Ushuzi mtupu....nyambafu...wa kwako na uchumi wa kati yuko wapi zaid ya kuwarubuni viongoz wa dini na wasanii.....we ni kiaz
 
NARUDI KUSEMAA HAKUNAA KOSA UPINZANI WATAFANYA KAMA KUKUBALI KUUNGANA KUMSIMAMISHA MEMBE. .!!

Membe ni Danganya toto ila yule ni CCM kama ambavyo ACT ni tawi lake yani ndo maana kampeni za ACT hazipigwi vita kabisaa vyombo vya habari vikiripoti kuhusu Lisu moto unawawakiaa ila Membe aaaha...
 
Sasa kama unajua mahali Lisu alipo mbona 'sijui, au' zipo nyingi sn? Wewe siunafahamu exactly mahali alipo?
 

18 JULAI 2020
Viwanja vya MwembeTogwa
Iringa, Tanzania

AITAKA SERIKALI KUACHA VITISHO UCHAGUZI HUU WA 2020

Tundu Lissu awapa nasaha serikali na wasimamizi wa uchaguzi kuwa hali imebadilika, dunia nzima inaitazama Tanzania hivyo hakuna nafasi watu wasiojulikana wasijulikane.
Source : CHADEMA MEDIA TV
 
😄 Wewe ni hakimu wa kesi hii siyo?
Sasa mh hakimu, sitaji, na nione utanifanyeje!!
Hahahaha sikia comred mwambieni babu yenu kama anakereka na kuambiwa ukweli aachane na siasa akafanye mambo yake binafsi, we mtu unaongoza Mali za umma wenye Mali zao wakihoji au wakitaka ufafanuzi unakuwa mbogo na kulaumu eti unatukanwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…