Hahahahaaa! ila yeye anajiona ni bonge la mgombea dunia haishi vituko hii.BM anashangaa jinsi watu waliosema wako nyuma yake walivyokimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa! ila yeye anajiona ni bonge la mgombea dunia haishi vituko hii.BM anashangaa jinsi watu waliosema wako nyuma yake walivyokimbia
Nyinyi ndiyo mnamchuuza mzee wa watu. Wabongo nuksi sasa kabaki peke yake lakini wakati hajahama walimwambia tangulia mzee tuko nyuma yako tunakuja.Membe ni Simba mwenda pole ila lazima ale nyama.
Anaji overrate sana aisee!Hahahahaaa! ila yeye anajiona ni bonge la mgombea dunia haishi vituko hii.
Huyo jasusi bado hajaonja joto ya jiwe ya kuwa upinzani!
Siku atayopewa msukosuko atarudi mwenyewe CCM bila kupenda.
😄 Wewe ni hakimu wa kesi hii siyo?Taja matusi anayotukanwa magufuli na sisi tuyajue hata kama anayetukana sio lissu wala mbowe, sisi tunatamani tufahamu hayo matusi
😄 Wewe ni hakimu wa kesi hii siyo?Taja matusi anayotukanwa magufuli na sisi tuyajue hata kama anayetukana sio lissu wala mbowe, sisi tunatamani tufahamu hayo matusi
Mkuu, nikiyataja si nitakuwa nimetukana tena? Kwa kweli staji mkuuHuwa ninacheka sana nikisikia watu wanasema eti wapinzani kazi yao ni kutukana. Fuatillia vizuri hayo yanayoitwa matusi, utakuta ni ule ukweli ambao wapambe wanaowazunguka watawala hawawezi kuwaambia, na kwa vile ukweli huo hawaambiwi kwa lugha ya kuremba, ndio inabidi waseme ni matusi ili kupoteza ukweli usifahamike. Kwasababu ww ni muelewa wa kiwango cha kuridhisha, hebu weka hayo matusi wangalau mawili tuyaone.
Vipi tena mkuu, nimewahi kuiba mkeo! Mbona mitusi isiyo na kichwa wala miguuHaya pumbavu!
Dogo tuseme hili mara ngapi ili uelewe? Tume bado haijapitisha wagombea, kwahiyo hakuna kitu kama hicho. Ni propaganda za WAHUNI WACHACHE huko CCM, umeelewa sasa?Membe anajua anachokifanya, na anajua muda wa kampeni bado, na anajua kuwa kufanya kampeni kabla ya wakati madhara yake ni nini. Ndio maana hata Magufuli hafanyi kampeni.
Si unataka kuwa kama Magufuli? Basi wewe ni mpumbavu!Vipi tena mkuu, nimewahi kuiba mkeo! Mbona mitusi isiyo na kichwa wala miguu
Ushuzi mtupu....nyambafu...wa kwako na uchumi wa kati yuko wapi zaid ya kuwarubuni viongoz wa dini na wasanii.....we ni kiazAnayevuma kwa sasa ni Tundu Lissu tu.
Na si kwamba anavuma kwa sababu ana sera bora na anazinadi kwa ustadi!
La hasha.
Anavuma tu kwa kelele kelele anazozipiga akiwa huko kwenye mizunguko yake ya kutafuta wadhamini.
Sasa ikija kwa Bernard Membe, si ajabu ukimwuliza Mtanzania wa kawaida barabarani kuwa jana au leo Membe alikuwa wapi, sidhani kama kuna mtu ataweza kukuambia.
Kwa Lissu hali ni tofauti kabisa. Majuzi ile alikuwa Ikungulyabashashi. Juzi alikuwa sijui Arusha au Kilimanjaro. Jana alikuwa Iringa au Morogoro....
Sasa huyo ‘jasusi mbobezi’ yeye yuko wapi?
Hata vile vijembe vyake dhaifu kule Twitter naona hatoi tena.
Isije akawa keshaguswa na sasa ananuka!
Jamaa ni dhaifu sana. Siasa naona haimkubali. Haiba yake haiendani na mikikimikiki na mashamsham ya kisiasa.
Sasa kama unajua mahali Lisu alipo mbona 'sijui, au' zipo nyingi sn? Wewe siunafahamu exactly mahali alipo?Anayevuma kwa sasa ni Tundu Lissu tu.
Na si kwamba anavuma kwa sababu ana sera bora na anazinadi kwa ustadi!
La hasha.
Anavuma tu kwa kelele kelele anazozipiga akiwa huko kwenye mizunguko yake ya kutafuta wadhamini.
Sasa ikija kwa Bernard Membe, si ajabu ukimwuliza Mtanzania wa kawaida barabarani kuwa jana au leo Membe alikuwa wapi, sidhani kama kuna mtu ataweza kukuambia.
Kwa Lissu hali ni tofauti kabisa. Majuzi ile alikuwa Ikungulyabashashi. Juzi alikuwa sijui Arusha au Kilimanjaro. Jana alikuwa Iringa au Morogoro....
Sasa huyo ‘jasusi mbobezi’ yeye yuko wapi?
Hata vile vijembe vyake dhaifu kule Twitter naona hatoi tena.
Isije akawa keshaguswa na sasa ananuka!
Jamaa ni dhaifu sana. Siasa naona haimkubali. Haiba yake haiendani na mikikimikiki na mashamsham ya kisiasa.
Ukishakunywa kvant unatoa maushuzi....unafiki mtupuHuyo jasusi bado hajaonja joto ya jiwe ya kuwa upinzani!
Siku atayopewa msukosuko atarudi mwenyewe CCM bila kupenda.
Membe hana ubavu wala kaliba ya kupambana na aina ya utawala wa awamu ya 5 ya inayojiita CCM Mpya inayopenda ku - bully wananchi na vyama vya upinzani. Safari hii CCM Mpya imekutana na mpambanaji wa kweli Tundu Lissu atakaye tuvusha toka kuwa wanyonge na kuwa watu-huru wenye sauti katika nchi yao huku tukitembee vifua mbele kutekeleza kauli mbinu za muasisi Mwl . Nyerere - Uhuru na Kazi, Uhuru na Maendeleo ,Uhuru na Umoja
Hahahaha sikia comred mwambieni babu yenu kama anakereka na kuambiwa ukweli aachane na siasa akafanye mambo yake binafsi, we mtu unaongoza Mali za umma wenye Mali zao wakihoji au wakitaka ufafanuzi unakuwa mbogo na kulaumu eti unatukanwa😄 Wewe ni hakimu wa kesi hii siyo?
Sasa mh hakimu, sitaji, na nione utanifanyeje!!
Hahahahaaa, ukimegewa mkeo, umaliziage hasira zako hukohuko, huku ukija ukiwa na hasira zako hizi unaonekana ni mbwa tu kasoro mkiaSi unataka kuwa kama Magufuli? Basi wewe ni mpumbavu!