Besigye, mwanaume anayeteswa na Museveni kwa sababu ya ugomvi wa mwanamke

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572

Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha.

Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani!

Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na Winnie na kumuoa Janeth. Baada ya Museveni kumtosa Winnie, ndiposa rafiki yake Museveni kwa wakati huo ndugu Kiza Besigye aliamua kumuoa zilipendwa wa Museveni Winnie.

Na ndiyo maana, leo hii ndugu Kiza Besigye analipia gharama kubwa kwa kusumbuliwa na aliyepata kuwa rafiki yake wa dhati Rais Museveni kisa tu ugomvi wa kuchukuliana wanawake.

Mbaya zaidi, kwa umri wao, hata mbolo (mbolo siyo tusi) zao haziwezi kazi. Sasa unashangaa ya nini waendelee kuumizana namna hiyo?!

Kesi lukuki zisizo za kweli akituhumiwa kwazo ili tu ateswe na kukomolewa na jamaa yake bwana Museveni aliye na makali ya Dola.

Wanaume, tujitahidi kuishi na wanawake kwa akili ili wasije kutuingiza kwenye magomvi yasiyo na tija kwa marafiki zetu.
 
nani alikuambia hazifanyi kazi ? Uliingia nao faragha ? Mwanaume ukiwa na afya njema, hata ukiwa na 80 unaweza kusex vizuri tu, japo performance haiwezi kuwa kama ya kijana damu changa
Mkuu hii ki science au your wish? Mleta mada yupo sahihi sasa hivi chuma zao zimetitia
 
winnie byanyima ana kosa gani? kawachonganishaje? museveni alimuacha na akamuoa janet na kiiza akamuoa byanyima,sasa hapo mwanamke ana kosa lipi?kiiza hakumnyang'anya museveni,bali museveni ndio alimuacha byanyima,tusiwaigize wanawake kwenye makosa yasiyowahusu
 
Kwa hiyo jamaaa alikula mbususu ya mke wa museven....safi sana mwamba.
Ila mwanaume kumtesa mwenzio kisa mkeo kaliwa mbususus huo ni umama
 
Yaani umeweka CODES TUPU. Hebu maliza hiyo MOBIE katika huu uzi wako.
 
Elewa, Museveni ni staki-nataka na ndiyo maana anamshughulikia Kiza kila anapo vuta hisia za kipindi kile Winnie alipokuwa anampa....
 
Thread hii ukiisoma ni kana kwamba, mwandishi umelala ukaota hiyo habari, kisha umeamka na kuikazia kwa kuifungulia uzi.

Nimesema hayo kutokana na namna habari yako ilivyoacha maswali mengi kuliko majibu.

Nani alimchukulia mwenziye, mke au hawara, mwaka gani, mwanamke huyo anaitwa nani, umri gani nk nk.

Kwa nini usifullfill kiu ya wasomaji kwa kufanya tafiti zilizojitosheleza na kuja na habari zilizoshiba?
 
Ubarikiwe.
 
Kwa hiyo jamaaa alikula mbususu ya mke wa museven....safi sana mwamba.
Ila mwanaume kumtesa mwenzio kisa mkeo kaliwa mbususus huo ni umama
Museveni alimuacha Winnie akamuoa Janeth. Kiza baada ya kuona Museveni kamtosa Winnie akaamua amuoe. Hapo ndipo chuki ya wawili hao ilipoanzia.

Ukweli ni kwamba, Museveni ana wivu wa kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…