Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha.
Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani!
Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na Winnie na kumuoa Janeth. Baada ya Museveni kumtosa Winnie, ndiposa rafiki yake Museveni kwa wakati huo ndugu Kiza Besigye aliamua kumuoa zilipendwa wa Museveni Winnie.
Na ndiyo maana, leo hii ndugu Kiza Besigye analipia gharama kubwa kwa kusumbuliwa na aliyepata kuwa rafiki yake wa dhati Rais Museveni kisa tu ugomvi wa kuchukuliana wanawake.
Mbaya zaidi, kwa umri wao, hata mbolo (mbolo siyo tusi) zao haziwezi kazi. Sasa unashangaa ya nini waendelee kuumizana namna hiyo?!
Kesi lukuki zisizo za kweli akituhumiwa kwazo ili tu ateswe na kukomolewa na jamaa yake bwana Museveni aliye na makali ya Dola.
Wanaume, tujitahidi kuishi na wanawake kwa akili ili wasije kutuingiza kwenye magomvi yasiyo na tija kwa marafiki zetu.