Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hakika Mkuu, Burna boy ana mziki safi sana, ni kipaji kikubwa kile na ujumbe mkubwa, hata Obama kuna baadhi ya nyimbo zake alisema anazikubali mnoHata bila siasa asingeshinda. Kwa kipindi husika washindani wake wa karibu wawili wote wana album kali zinapambania Billboard kule. Sasa wampe mshindi hayupo popote kwenye Billboard?
Hongera sana Burnaboy kwa ushindi. Wewe umekuwa unapigania hakiHata bila siasa asingeshinda. Kwa kipindi husika washindani wake wa karibu wawili wote wana album kali zinapambania Billboard kule. Sasa wampe mshindi hayupo popote kwenye Billboard?
Ha haaaaa haaaaa kumekuchaKwa iyo sisi tufanyeje
Kwanza Tanzania hatuna vazi maalumu. Pili Masai sio kabila kubwa wala 3 hapa Tanzania pili kumbuka tuna makabila 120 wa masaai wanatumika tu kuvuta watu sababu ni watu fulani wanamila za kipekee na ajabu kidogo. Vazi la kimasai haliwakilishi Tanzania na wala hatuna vai la kitaifa.Sisi Tanzania vazi letu Ni lipi?
Atleast la kimasai Ni Kabila Kubwa hapa Tz almost la pili/tatu Kwa ukubwa.
Ulitaka avae suti?kwahyo bora kuvaa vazi la mzungu wa marekani kuliko mmasai wa hapa hapa bongo kisa anapatikana Na Kenya?
Mi naona Ni confidence kubwa aliyoonesha kutangaza uafrica kuliko uzungu
Dhumuni alikuwa apate spotlight lakini haikuwa kama alivyodhani.Alikosea Sana kwenye hlo vaz maana ashazoeleka na suti
Sasa vazi la wenzie anaenda nalo
N Kama yeye ndo mmasai
Acha wivu......Kama mtu anashindwa kustiri uchi wa rohoni hata akivaa nguo bado ataonekana yuko uchi. Halikadhalika kwa uzalendo.
View attachment 1833054
πππ kwa hiyo vazi limemuangusha, teh tehDhumuni alikuwa apate spotlight lakini haikuwa kama alivyodhani.
Kwa akili za bavichaNasikia mond kawa DISQUALIFIED??
Dogo alikaa upande wa dhulma. Ajipange upya bado Mdogo.Wanaharakati Uchwara "wamemsagia sumu" Baba wanne a.k.a Dangote mpaka kukosa tuzo huko LA. Wanaharakati SI watu wazuri. Rudi nyumbani tujenge Chama Chetu Mujarabu!
ππππππππnimechekaKashinda Burna boy ikapigwa background "kilometre" sasa ndugu yetu angeshinda wangepiga background gani? " unataka lala ...awapi tuzime mziki...awapi, kisambulike sambwanda ...sijui nani kachanika musamba..."
Anatakiwa ajivunie tu kuwa nominated inamtosha.
People hate hate what they can't qoncure,fear what they don't understand.Kipandacho hushuka ulishawahi waza? Si miujiza ni asili inawashangaza.../
Wasahaulifu walimwengu ilitangazwa, wata taja mashujaa na jina lake halita tajwa.../
Cadillac Escalade for lifePeople hate hate what they can't qoncure,fear what they don't understand.
Kwanini unataka,unasubili ashuke?
Mond kupata ukwasi(mkwanja mrefu)sio sababu ya wewe kukosa,
Watu wengi wanaonesha chuki kwa mtoto wa Tandale,ukichunguza sana,hawamchukii yeye kama Mond,wanatamani wawe kwenye nafasi yake hapo alipo,mijumba mikali,ndinga za kutosha za bei mbaya,pesa ndeefu,
Totos za kumwaga,sasa kwa vile hawawezi kuwa pale alipo,chuki inawajaa vifuani,
Sasa unajiuliza Mond kakosa tuzo,wewe unashangilia!unapata faida gani?unaishi kwenye chumba master Cha kupanga,na ka ajira kenye kipato hakifiki hata 1M!
Mwenzio anaishi Mbezi,katoa ajira kwa watu kibao,wanaovuta kuanzia 2M kwenda mbele,mtu kama huyu ukimchukia,kwanza sio jirani yako,huwezi kukutana nae popote,wewe ukila wali nyama wa buku 5,unaona bei kubwa!
Mwenzio anakula soda ya buku 10!
Ukimchukia,lazima utakuwa na matatizo ya akili.