BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

Nimepita katika mitandao ya kijamii nilichoshaa ni kuona chama kinachopambana kuchukua dola eti kimejielekeza kufanya vita na propaganda zote kwa mtu mmoja tena msanii na kusahau mikakati yao ya kupambania dola ndio kusema nguvu hii kubwa inatafsiri nini? Je Diamond ndio dola yenyewe? [emoji38][emoji38][emoji38]

Mpaka hapa Diamond ameonyesha ukubwa wake sio mchezo. Cha ajabu BET wenyewe wamempost Diamond Simba petition iko wapi?

Naweza kusema kwa hali inavyokwenda Diamond afanye yafuatayo:
@ awe makini zaidi kuliko kipindi chochote
@ aongeze ulinzi na awe na mtu wa kufanya tathmini ya hali ya usalama dhidi yake
@ mafans wake waongeze nguvu ya kujibu mashambulizi dhidi ya boss wao

Nawakumbusha katika anga/ulimwengu wa mitandao ya KIJAMII WASANII WANA NGUVU KULIKO MWANASIASA

Nimepita kuwakumbusha [emoji2327][emoji2327][emoji2327]
 
Acha ujinga wewe sasa kama wewe unaheshimu maamuzi ya domo pamoja na kutoyakubali sasa iweje UNUNE kwa wale ambao wanataka kumpigia kura msanii mwingine? Mbona una undumilakuwili? Acha upumbavu wako!
Unarudia kutoka nje ya mstari either kwa makusudi au ujinga uliokuzidi kichwa. Mimi nayaheshimu mawazo yake nawasema ninyi kwa unafiki wenu kuhusu sababu za kwa nini aondolewe. Mnahubiri uhuru lakini hamtaki uhuru huo watu wenye mawazo na mitazamo tofauti na ninyi waufurahie. Ungekuwa undumi la kuwili kama ningekwambia usimpe kura msanii unaemtaka alafu me simtaki.
 
Akikujibu nitag
 
Chama gani!!?

Kigogo nae ni chama acheni kuzusha uongo.
 
Kabisa,
Kuna watu wanawivu wa kurithi na ndo wanaoendesha iyo kampeni
 
Nyinyi pia mjifunze kuheshimu uamzi wa Diamond kuside na CCM, yani nyinyi mnatama tuheshimu mawazo yenu ilihali nyinyi hamtaki kuheshimu mawazo ya Diamond mwenyewe?

Kila siku nasema humu, kushinda au kushindwa kwa diamond katika hiyo tuzo hakuhusiani kabisa na hawa wanaharakati uchwara wa Tz. Na kama mnahisi huo uwezo mnao, basi amueni hata leo yule msanii wenu ROMA ashinde tuzo ya BET[emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…