Better late than never, CHADEMA anzisheni YouTube Online TV haraka iwezekanavyo

Ndiyo maana nasema akili zako ni zero! Endelea kuona wakimsifia. Besides, huyo anayemaifia kama siyo mlamba viatu basi anaogopa udikteta wake!
Wale wale asiye na mtazamo kama wako. Hana akili.
 
Acha unafiki
 
Ila Hassan Abbas atalipia huu ushenzi anaofanya. Lazima tuseme naye! Na ili heshima iwepo tutaanza naye na kumbuka kuwa tumeshajiapiza kufa na kila muhuni!
Mkuu look at the big picture.
Don't look for fire but look for the boy wandering around the bush with the matches.

Dr.Abbas is just a fire not the source of fire.
 
Wanaogopa nini?!
 
Sema hawak prokote TV yao ila ipo

Naungana na wewe kwa 100%.Kwa sasa binasfi sitegemei na wala sijihangaishi kufuatilia matukio ya Chadema kwenye vyombo hivi vya habari.Vimekuwa vyombo vya habari vya kijinga sana.
 
Hapo shida ndipo inapoanzia.

Hata ofisi kwako wewe kama umeajiriwa/ umeajiri hakuna personal attack ila hapa unaitetea.
Kama anaetajwa jina wanamuongelea ukweli hakuna ubaya ndio siasa.
 
Well said mkuu.
 
Haya ndo mambo ya maana sasa
 
Unajielewa kweli wewe? Unajua maana ya chombo cha habari au unaharisha tu hapa? Millard siyo mtumishi wa ccm anapaswa kuwa mwandishi huru asiyependelea upande.
Umeona midomo mliyonayo inavyonuka? Alafu mnashangaa hakuna anayethubutu kuwarusha live? 🤮
 
Media wanatakiwa wawe neutral unless wanamilikiwa CCM. Ipo wazi kuwa hawamilikiwi na CCM ila wanaogopa utawala wa JPM.Na hii siyo uelekeo mzuri kwa taifa. Wananchi wanatakiwa wapate habari za Chadema kama wanavyopata za CCM ,wao ndo watachambua mbovu na mbivu.
 
Vifaa vinavyohitajika (camera 1 pekee)
1. Camera yenye tundu la sdi out.
2. Wireless mic ya camera.
3. Audio cable ya kuchukua sauti kutoka kwenye mixer hii ni ya kwenye events kubwa.
4. Sdi cable.
5. Live U solo (kifaa cha kurushia matangazo)
6. Modem ya 4g
7. Line ya 4g yenye bando.


Kama mnataka kuruka kwa zaidi ya camera moja. (Multicam livestream) hasa kwenye kampeni.
Vifaa ni
1. Camera zenye sdi out (2 na zaidi)
2. Wireless hd transmitter adapter(hii ni ya kulink camera na video switcher wireless, kuepuka nyaya kukanyagwa na watu au kukatika kwa nyaya) idadi inategemea na idadi ya camera.
3. Video switcher kama blackmagic atem hd, au roland hd switcher, atem mini pro. Ila blackmagic atem hd ni bora zaidi.
4. Preview monitor kwa ajili ya kuswitch camera.( inaweza kununuliwa hata tv ya kichina ndogo inatosha)
5. live u solo
6. Radio call za kuwasiliana kati ya mpiga picha na mtu wa kurusha matangazo. Zile earphone zinazopita nyuma ya kichwa.
7. Modem ya 4g
8. Line ya 4g yenye bando la kutosha.
9. Laptop yenye graphic card nzuri hasa gaming laptop ram iwe kati ya 8gb mpaka 16gb. Haswa alienware.
10. Waya sauti ili kuchukua sauti toka kwenye mixer ya mkutano kuenda kwenye video mixer ya blackmagic atem hd.


Hivi vinunuliwe fasta kabla ya kampeni. Wahusika watumie kufanya nayo mazoezi.
Nawasilisha.
 
Yaani imefikia hatua mimi taarifa za habari siangalii.Inabd kutumia jf na twitter walau kupata taarifa halisi.
 
..hizi media zinajipeleka zenyewe kwa ccm.
Wacha uongo labda hufahamu You tube wamavyolipa au wanavyofanya kazi zao. Huyu kijana Millard Ayo anajitahidi sana na hakuna anachoweza kufanya bali kutumia fursa ili atoke kidedea. Inaonekana mnamwonea gere. Mijitu mikubwa zero brain, nyie mnazokula kutoka kwa walipa kodi nani anawapigia kelele? Mwaka huu ile ruzuku mliyokuwa mnaipata hamtaweza kuifikia come rain come sunshine.
 
Msiwe mnapost kabla ya kufanya research.
Chadema wana online Tv na ipo muda mrefu sana, ila hadi leo subscribers aapo 1112 .
Tatizo sio online tv, bali chadema wenyewe. Wanajinasibu sana kufanikiwa kwenye mitandao ila hali uhalisia haupo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…