Betting ilivyokwenda na milion moja yangu

Ila juve ni mjinga sana,huu msimu sitambetia tena
 
Nimepoteza kaz na wakat ndo nimeacha kaz kausafir kangu kakawa kameharibika kakakomba akiba yangu yote

Nimeamua kupambana na betting mpaka niweze kuendesha maisha kwa kutegemea hii kitu bahat nzur m-pesa wananikopesha mpaka laki 5

Ni mwendo wa odds 3 mpaka 4 mwsho
 
Sijui jamaa kabetije apo , sa unawekaje draw full time au aliambiwa ni fixed🤔 duh kaliwa kizembe sana ata hashtuki mechi Ina odds mpka 5 , àlijua kanji ni mjinga hvo kuweka odds 5 single match , dah nawaza sijui ilikuaje ila nahisi asilimia kubwa aliuziwa mkeka akaambiwa ni fixed . Yani mm nkiweka laki niweke odds 2 tu nizalishe laki nyengine ,huwa nasumbuka kusaka odds mpka basi Yani naeka option yny probability kubwa sana over 0.5 au 1.5 na Bado pagumu
 
Huyo sio mzima yaani hiyo pesa yake akitulia mpaka mwisho wa ligi mwezi wa 6 anazaidi ya 20m anaweka m1 halafu option draw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…