Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Labda Kwa single game sawa, ila ukizichagua hizo timu nne kama zilivyo na zikacheza na vibonde kwenye ligi hukosi 1.5.Kwa hyo unafikiri madrid akicheza na kibonde anapewa point inafika hata 1.2,thubutuuuuu,wakati mwingine anapewa hadi 1.07,sasa hapo kuna nini?
challenge kidogo; ikiwa utastake 200K kwa lengo la kufukuzia elf12 na bado mkeka ukachanika, utafanyaje ili urudishe laki mbili iliyopotea?Shida hizo timu hupewaga odds ndogo sana,unakuta hata ukiweka laki ukila unapata laki na kumi na mbili,faida elf12
Ndio maana ni mchezo wa kipumbavuchallenge kidogo; ikiwa utastake 200K kwa lengo la kufukuzia elf12 na bado mkeka ukachanika, utafanyaje ili urudishe laki mbili iliyopotea?
kama betting ingekupa pesa nyingi ukaacha kubet hapo hoja yako ingekuwa na mashiko, lakini kama unaendelea kubeti, niamini mimi, hiyo pesa itarudi tu ni suala la muda! pesa uliyokula kwa zaidi ya miaka miwili inaweza kurudi kwao ndani ya mwezi mmoja! hii itunze kama kumbukumbuWewe huwezi kuniambia kitu kuhusu betting imenipa pesa nyingi sana kidampa kama wese huna Cha kunishauri ukiona umeshindwa wewe ujue huna bahati nenda kalime mzee
Odds hizo zinaleta 1.42738 mkuu,haya tuassume zinatoboa zote,ili utusue uweke pochi neneee kidogoLabda Kwa single game sawa, ila ukizichagua hizo timu nne kama zilivyo na zikacheza na vibonde kwenye ligi hukosi 1.5.
Tuchukulie Madrid 107
Mancitiy 1.07
Yanga 1.16
Simba 1.15
JUMLA ODDS 1.52
hebu twende taratibu; je una uhakika 100% mkeka utatiki?Uongo huo.
Yaani uzipe timu zishinde Madrid, Mancity, Simba na Yanga halafu kwa ujumla ziwe na odds 1.12?
Kwa mahesabu ya betting hapo kwa ujumla wake hizo timu zote zikicheza na vibonde kwenye ligi zao hukosi odds 1.5 na hayo ni makadirio ya chini kabisa.
kumbuka lengo la kubeti ni upate zaidi ya ulichoweka.(mapato/upate zaidi) Kama ungejua mapema kabisa kwamba timu unayoipa ushindi itashindwa ungebeti?Shida yako Ni unaifanya betting kuwa kiteka uchumi chako( source of income) wakati kiuhalisia betting inachukulia tu Kama mchezo
N/B- Bet with what you can afford to loose
Hapo ndio mahesabu ya betting yanapokuwaga magumu.hebu twende taratibu; je una uhakika 100% mkeka utatiki?
na kama ukipoteza, utaweka dau la shil. ngapi kwa odd 1.5 ili laki mbili irudi?
hahah Lupweko bwana! kama virtual umeijua leo, nakushauri toa hiyo hela fanya mambo yako vinginevyo nakupa masaa kumi ya kubeti/ya kazi, lazima utadeposit tena.Sio lazima kutusua, ila walau ya supu haikosekani. Hapa nipo ninaweka mzigo mdogo mdogo katika Virtual ya BetPawa, nilianza na sh. 4000 ila hata saa moja haijaisha nishapata 20 na nadhani kwa leo inatosha
View attachment 3060656
twende na hesabu za kikamalia sasa usikomee hapo nimeona uko vizuri! Ikiwa 200K ya mkeka wa kwanza kabisa imeliwa next unabeti vipi mpaka irudi?Hapo ndio mahesabu ya betting yanapokuwaga magumu.
Utaweka 200,000 kwa odds 1.5 utakula 300,000 faida 100,000
Utarudia kutafuta odds 1.5 kwa dau la 200,000 halafu mhindi anatembea nayo yote yote unabaki na 100,000 ambayo siyo faida maana una hasara ya 100,000 tayari.
Baada ya hapo unapanick, unataka urudishe 100,000 yako upumzike.
Unaamua kutafuta odds 2 kisha unastake 100,000 yote ili upate 200,000 na vichenji.
Hapo mhindi anakushangaza anapita nayo yote.
Kwa ufupi huu mchezo unaitaji utulivu. Mhindi ametengeneza mahesabu ya kumbeba yeye, so kumla maana yake umefosi.
hahahMimi nitaacha kubeti nikishinda 90M. Hakuna kazi isiyokuwa na changamoto. Hata mkiwa mnfanya kazi bank na wote mkawa mnapata mshahara mmoja, lakini kuna mmoja au wawili atakuwa vizuri kimaisha. Atakuwa na nyumba zaidi ya hata 3 magari n.k
Hapa tunaenda kwenye kitu kinachoitwa commitment na bahati. Kila mtu na bahati yake. Mimi Muhindi ananinipiga mia mbili au mia 5 lakini siku nikimpiga 90M nani atakuwa ameingia hasara?
Wewe acha kubeti kama umeamua kuacha lakini usiwatishe watu. Wewe huna hela ndio maana unalialia.