Betting: Niliamua kuacha kubeti baada ya kutumia zaidi ya Tsh. 450,000/- na kuambulia patupu pamoja na kutapeliwa Tsh. 100,000/-. Kuna funzo kubwa


Kaka achana na mambo ya ushindi tembea over au under mi cna mtaji tu lakin kupiti jero nakula co kila cku kwa mwez ckosi hela yan juzi hapa nimekosa laki 9 kwa timu 26 nimekosa timi 2
 
Ndio mkuu naendesha maisha kupitia kamali.., Kuna kitu inaitwa Professional Punter, ukipata muda google strategy za kubet kama Martingale Strategy, Dutching.., nenda Google andika Aceodds Dutching calculator.. zaidi zaidi nicheki Pm(inbox).
Martingale nimeitumia sana lakini mwisho wa siku najikuta naangukia pua😅😅
 
Kwa kweli mwenyewe nafikiri kupumzika kiasi.... Ni muda sasa nnachezea vitasa heavy.... Sio materni sio Mabewa sio single bet... Kutoka November mpaka hii leo kwa makadirio ya chini ni 2.5 M nmepoteza kwenye kamari, na nilichoambulia hakizid 600k ( Hasara)
 
Kuna jamaa analipa kodi anaishi na mwanamke wake kwa kubet tu.
 
Kuna jamaa analipa kodi anaishi na mwanamke wake kwa kubet tu.
Kweli kabisa mkuu, mimi nina ushahidi wa jamaa yangu anaishi Kinondoni maisha mazuri ya kibabe, gari kali. Anaishi kwa kubeti tu. Ila hakurupuki, anaweza kuweka laki 5 lipatikane goli 1 tu, full time (over 0.5), labda odd ni 1.17. likipatikana goli lolote dakika yoyote anapata 585,000. Faida elfu 85. Ila uhakika wa kushinda ni mkubwa sana. Matokeo ya bilabila tu ndo analiwa. Na ana mtaji wa kutosha.
 
Shida huanza unapoingia tamaa unataka odds za 200 uibuke milionea
 
Masoko uliyokuwa una bet ni magum kushinda mkuu, me binafs nabet ila sitegemei betting ktk maisha yangu.. na sijawahi kuwaza kupata pesa nyingi ktk betting.

Me kwa wiki na bet 5000 tu sizidishi hata 100, me na bet kama ziada tu kupata hela za vocha na vitu vidogo tu. Huwa nakula ila sio pesa nyingi.
mimi na bet mikeka mitatu tu kwa wiki , miwili ya 2000 na mmoja wa 1000 basi.

Ktk mikeka yangu siweki kushinda pesa nyingi, me lengo ni laki moja tu kila wiki ktk hiyo elfu 5 nayoitumia kubet.

Huwa ni mara chache sana mikeka yote mitatu kuchanika , na kila mkeka naoweka sirudii mechi hata 1.

Mnaoliwa na kupigwa sna ni nyie mnaotafuta utajiri au mnaotafuta maisha kwenye beting.

Ushauri wangu betting usiifanye ni ajira au chanzo cha kukutengenezea maisha, na kama huna kazi ni bora usibet.

Ila kama una issue zako unafanya za kukuingzia pesa unaweza kutenga hata 2000 kwa wiki kwa ajili ya muhindi. Usibet mechi nyingi sana , Kama una bet 2000 kwa mkeka mmoja usitake ule laki, mfano 2000 ww tengeneza mkeka wa 20,000 au 30,000 tu.

Watu wengi wana tamaa , kama hauajawahi kubet nakushauri usibet
 
Ww hujui kubet unajiwekea tu , utapigwa mpka ukome. Sasa napoli msimu huu na yeye yupo kawaida tu unampa moja kwa moja dhidi ya lazio!!

Hiyo yanga, mechi za mikoani bongo sio za kubet hazitabiriki inaweza kutokea sare.

Kiufupi ni kwamba sip kila mechi ni ya kubetia.. nakushauri achana na kubet unaloteza muda hujui kubet kma mpka mechi unashindwa kutafuta
 
Bravo
 
Kubet ni starehe, luxury. Bet the amount you can afford to lose.

Ukianza kubet kwa kukamia ili uwe tajiri utapigwa mnoooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…