Betting: Niliamua kuacha kubeti baada ya kutumia zaidi ya Tsh. 450,000/- na kuambulia patupu pamoja na kutapeliwa Tsh. 100,000/-. Kuna funzo kubwa

Betting: Niliamua kuacha kubeti baada ya kutumia zaidi ya Tsh. 450,000/- na kuambulia patupu pamoja na kutapeliwa Tsh. 100,000/-. Kuna funzo kubwa

bet ni sawa na kujenga lodge kwa gharama ya milioni miamoja harafu unakuja kudunduliza vi elfu ishilini kwa wateja wako so-kuirudisha hio milion100 sio leo na inawezekana ukafa hujaishika nzima nzima iliotokana na Hiyo lodge yako

exalioth
jf_geita
loc_lulembela
At least hiyo lodge itakuingizia kila siku. Naonaga ajabu wale wanojenga nyumba za kupangisha. Nyumba ya milioni 60 anapangisha kwa laki tano kwa mwezi. Yaani huwaga siwaelewi kabisa.
 
Back
Top Bottom