Betting: Niliamua kuacha kubeti baada ya kutumia zaidi ya Tsh. 450,000/- na kuambulia patupu pamoja na kutapeliwa Tsh. 100,000/-. Kuna funzo kubwa

Kaaahhhh
 
Kubeti ni bahati tu,sio chanzo cha ajira wala utajiri,mi huwa nabeti 500 kwa funny tu..sijawahi tafta hela ya kula au kodi au bills kwa kutandika mikeka,cos hutaipata kamwe
 
Fedha za kamari,haziji kuzaa kamwe,cos ni hela chafu...hata uwe na nidhamu gani bila kuzisafisha kiroho zitarudi zilikotoka tuu
 
Sasa unatakiwa uquite haraka sana.

Itakuwa ngumu jwa siku za mwanzo ipa pambana na hilo zimwi, ni hatari sana kwa uchimi wako.

Kamari hulete UFUKARA.

NB: ufukara ni tofauti na umasikini.
 
Sasa unatakiwa uquite haraka sana.

Itakuwa ngumu jwa siku za mwanzo ipa pambana na hilo zimwi, ni hatari sana kwa uchimi wako.

Kamari hulete UFUKARA.

NB: ufukara ni tofauti na umasikini.
UMASKINI uliopitilizaaaa
 
Kubet ni bahati tu haina mjunzi wala nani na jambo jingine betin, usiifanya kuwa sehemu ya maisha lazima ufeli tu, fanya kuwa burudani, tu, hiyo ni bahati nasibu.
 
Kubet ni bahati tu haina mjunzi wala nani na jambo jingine betin, usiifanya kuwa sehemu ya maisha lazima ufeli tu, fanya kuwa burudani, tu, hiyo ni bahati nasibu.
umesikia lakin betpawa kaliwa b53 vp bado huamin kama betting inautajir a kutosha kuna mzee juz kala m70 ka buku tu
 
Kaka achana na mambo ya ushindi tembea over au under mi cna mtaji tu lakin kupiti jero nakula co kila cku kwa mwez ckosi hela yan juzi hapa nimekosa laki 9 kwa timu 26 nimekosa timi 2
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa kujipa moyo tu mko vizuri yani mtu akisoma anaona kama unapiga pesa kumbe unaugulia vipigo tu.
 
unakulaa hutoiizakaa wanakuachaje
 
Ufanye Downloading Mahela Ukiwa Chumbani Kwako, Ndiyo Tuseme Tumelogwa Kiasi Hiki
 
Aseeee yani unajipa moyo adi raha yani unajiweka kwenye kundi ka wanaopiga kumbe hakuna lolote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ gamblers tunajuana bana adi maandishi
 
Mi nahisi sijaipatia tu machaguo mazuri. Pia nataka niandae mpunga mrefu niongeze rounds. Nikishindwa na hapo, na logoff.
Kwa stake unazoweka Njoo kwenye basketball maumivu utasahau,ngoja Leo nikupe odds za mfano halafu weka 5000 tu
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…