Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

Wajukuu wa nyerere nnao wajua vizuri ni wale watoto wa j.nyerere waliyokuqa wanaishi mwananyamala opp na kambangwa clinic ya watoto....ngoja badaye ntaingia chimbo khs huyu bhoke nmjue vzr

Ova
 
Ila we jamaa unajua kukera sana! Team mataga enzi za buku7 time hii washakudemkia vya kutosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mawazo ya kijinga
 
Madaraka na yeye apewe nafasi.

Kuna burudani tunaikosa kama taifa.

Nakumbuka kura za maoni ubunge Butiama.
 
Kuna mjukuu mmoja anaitwa Julius..super humble ..ana integrity sana
 
Aliyeukwaa U-Jafo!?.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mjukuu mmoja anaitwa Julius..super humble ..ana integrity sana

Nyerere alikuwa na watoto wengi mnaposema mjukuu muwe mnawataja na wazazi wao!! Sasa huyo Julius ni mtoto wa Nani? Anna au marehemu John?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…