Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

Nakupinga tena kwa 100% unaposema Mjane amerudishwa Tabasamu wakati tunaomjua tokea akiishi na aliyeondoka hapo Ada Estate hivi sasa tunamuona ndiyo akiwa na Furaha, Nuru yake inarejea na hata ule Uzuri wake wa Asili uliokuwa umefunikwa na Mateso na Manyanyaso huku akidharauliwa mno nao umeanza kurejea.

Pongezi kwa Mwonekano wake wa sasa hasa Mnyoo wake kwani umemuongezea Thamani yake maradufu. Mjane ana Tabasamu zuri ambalo Mwanaume yoyote Rijali ukibahatika Kukumbana nalo ni lazima tu utaingia Kingi na Kumpenda kama ilivyokuwa Kwake Mkemia wa Chato. Mjane ni Photogenic sana tena Kuwazidi First Ladies wote wa Tanzania.
Ohooo kwamba Israel karejesha tabasamu la Mama wa watu😂😂😂😂
 
Ccm mna akili za kipuuzi sana! Muda wote mnawaza uteuzi tu. Kwani wewe huko kwenu hakuna wajukuu/watoto wanao jitolea katika familia kuwalea bibi/mama zao walio zeeka kama huyo Mama Maria Nyerere?

Sasa iweje kwa huyo Bhoke iwe ndiyo habari ya mjini?
Cheap minds.
 
Nakupinga tena kwa 100% unaposema Mjane amerudishwa Tabasamu wakati tunaomjua tokea akiishi na aliyeondoka hapo Ada Estate hivi sasa tunamuona ndiyo akiwa na Furaha, Nuru yake inarejea na hata ule Uzuri wake wa Asili uliokuwa umefunikwa na Mateso na Manyanyaso huku akidharauliwa mno nao umeanza kurejea.

Pongezi kwa Mwonekano wake wa sasa hasa Mnyoo wake kwani umemuongezea Thamani yake maradufu. Mjane ana Tabasamu zuri ambalo Mwanaume yoyote Rijali ukibahatika Kukumbana nalo ni lazima tu utaingia Kingi na Kumpenda kama ilivyokuwa Kwake Mkemia wa Chato. Mjane ni Photogenic sana tena Kuwazidi First Ladies wote wa Tanzania.
Yaani mama Nuru umerudi..jamani tyjifunze kuwapenda wake zetu
 
Vipaji vya uongozi siku zote vinaonekana kwa wajukuu na sio watoto sijui kwanini. Mimi bibi yangu alikuwaga diwani wa CCM huko Tarime na kwa watoto wake sijaona hata mmoja ila kwa wajukuu yupo dada yangu mtoto wa mama mkubwa yaaani ni CCM damu na anajua sana siasa.
Kujua siasa za CCM ndio kuwa na kipaji cha uongozi!!??

Yule aliyekuwa Mirembe ni nani hivi!!??
 
IMG-20231014-WA0089.jpg
 
Back
Top Bottom