Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

Nyerere alikuwa na watoto wengi mnaposema mjukuu muwe mnawataja na wazazi wao!! Sasa huyo Julius ni mtoto wa Nani? Anna au marehemu John?
Huyu Julius ni maarufu sana mkuu.
Aliimba mziki pia ila alijua kuficha identity yake sana.

Kama ni mfuatiliaji wa mziki kuna kundi lilikua linaitwa rockas,,..
Umo walikuepo kina moo racka, quick racka na huyo alijiita chief rocka.

Ila kwasasa naona kaacha kuimba anafanya kazi bank nafikiri.
Ila ni maarufu maarufu kiasi chake.
 
Duuuih hii kali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi mtu unajitoaje ufahamu kutoa hitimisho kuhusu furaha ya moyoni ya mtu tena kuhusu matrimonial issues kama ndoa?!? Tunazidishaga ujuaji.
 
Nyerere alikuwa na watoto wengi mnaposema mjukuu muwe mnawataja na wazazi wao!! Sasa huyo Julius ni mtoto wa Nani? Anna au marehemu John?
Au Marco(makongolo),taarifa za jumlajumla mnatuchanganya
 
Bhoke amezaliwa Canada. Kwa hiyo technically nadhani ni raia wa Canada?
Bhoke ni mtoto wa Anna Nyerere.
Mbona shule ya msingi kasoma Dar na mpaka leo yupo Dar wakati alitakiwa kuwa diaspora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…