Balvejmumt JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 2,224 Reaction score 2,938 Mar 31, 2021 #81 All - Rounder said: Ukiwa unainywa ni lazima uwe Jirani ( Mkabala ) sana na Chooni lakini pia Toilet Paper isiwe mbali nawe kwani ukiinywa hiyo Shimo Kuu la Dampo kwa Mwanadamu huwa Wazi kwa Kutiririsha ulivyovila pamoja na Viporo vyako vyote tu. Click to expand... Hiyo bia wahuni wanaweza kukupima tezi dume haifai
All - Rounder said: Ukiwa unainywa ni lazima uwe Jirani ( Mkabala ) sana na Chooni lakini pia Toilet Paper isiwe mbali nawe kwani ukiinywa hiyo Shimo Kuu la Dampo kwa Mwanadamu huwa Wazi kwa Kutiririsha ulivyovila pamoja na Viporo vyako vyote tu. Click to expand... Hiyo bia wahuni wanaweza kukupima tezi dume haifai
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Mar 31, 2021 #82 raslimali said: Wakuu nimekutana na rafiki yangu Arusha ametoka safarini Iringa amekuta huko bia ya Bingwa akaja na chupa kadhaa. Hii bia kumbe imerudi tena? Ilipotea kitambo sijawahi kuiona. Click to expand... Bongo bhana !
raslimali said: Wakuu nimekutana na rafiki yangu Arusha ametoka safarini Iringa amekuta huko bia ya Bingwa akaja na chupa kadhaa. Hii bia kumbe imerudi tena? Ilipotea kitambo sijawahi kuiona. Click to expand... Bongo bhana !
sabuwanka JF-Expert Member Joined Apr 11, 2015 Posts 691 Reaction score 757 Apr 10, 2021 #83 sabuwanka said: Sasa mie ninae kunywa k vant ndogo tatu au k vant kubwa 1 nahitaji bingwa ngapi ili izifikie hizo k vant Click to expand... Sijajibiwa
sabuwanka said: Sasa mie ninae kunywa k vant ndogo tatu au k vant kubwa 1 nahitaji bingwa ngapi ili izifikie hizo k vant Click to expand... Sijajibiwa