Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

Kwa vle wewe n dalali sio muajiliw wa serikali kwamba muda mwingi upo kazin.biashara nyingi zinafeli kisa hamna usimamizi haupo vzuri.. kwa kazi yko unawez toka kdogo kazini kwenda kuchungulia kdogo kinqcho endelea kweny biashara zko.(side hustle)

UKIZINGATIA HAPO JUU.
1. Unawez tafuta shamba la kukod mkoan ukalim maindi ukaw unakuj kuliangalia maan kaz yko inaruhus kuondok kazn muda wowot

2. Fuga nguruw,ng'mbe nje y mji
3.fungua gesti nje ya mji
4.Bodabod (uber)
5. Chimbo la chipsi
N.k
 
Asante kwa ushauri mkuu napitia maona final nitapata muafaka.
Dalali unamiliki milion 10 umeshindwa hata kununua shamba ukate viwanja vidogo vidogo kisha utumie udalali wako uuze kwa faida???????

Ama kweli penye miti wajenzi hakuna!!!!!!!

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Hakuna jambo jepesi, ngopa waje kukupa muongozo...
 
Asante,nimejifunza
 
Kwa huo mtaji mkuu utatosha,, anzia hesabu za chumba shelves Bado vifaaa na wapi pa kupatia vifaa,, kuagiza au kununua kwa wauzaji wa jumla?
HV unaongea pumba gani am speaking from my experience hzo Ni pesa nyingi oly mzigo atako uweka Hapo iwe Chini ya 17 milion plus Kodi

Mzee njoo pm tukuoneshe tunafanya nn mjini Hapa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli hii id kila siku lazima nii-zoom, yaani hata sijui kwanini
 
Acha kupotosha watu kijana mm biashara yangu sikuanza na mamilion mkuu

Wacha nisiseme Sana ila pmban na screpa zako mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndio kuna ushauri mzuri kwa mtoa mada.
Kama ni biashara anunue bajaji awe anaendesha mwenyewe huku anaendelea kufanya dili za udalali.
Kwa vile dili za udalali haziji kila siku zile siku ambazo unasubiria dili za udalali unapaki kijiweni kula vichwa hapo hautakuwa na stress kabisa maana utakiwa unakula hela pande mbili kwenye udalali na kwenye bajaji baada ya miaka 2 utakuwa mbali sana.
Pia wakitokea wateja wa nyumba au kiwanja utatumia hiyo hiyo bajaji yako kuwapeleka location.
Kama alivyosema jamaa hapo biashara za maduka wewe hazikufai kwa sababu kazi yako sio ya kutulia sehemu moja ni ya kuzunguka mitaani na kwenye masaiti.
 
Dah kweli life is not a rehearsal.
Yaani mtu amefungua Pharmacy kubwa nje ya hospitali na bado hakutoboa je uswahilini itakuwaje,biashara ni vita kweli sio kama watu wanavyodhani na kurahisisha mambo.
 
Mie nakuambia fuga mbuzi wa maziwa Kama watano weka na ng'ombe mmoja. Tafuta kijana weka unamlipa 100k. Zitamlipa hizohizo mifugo yako. Halafu endelea na udalali ukipata hela ongeza na nguruwe pia fuga. Hizi biashara hazina kelele ,Hakuna tra kuwa mbona hujamkatia risiti na faida yake Ni kubwa
 
Anza biashara biashara usiogope Anza biashara kutokana na idea yako mambo mengine mbele.kwa mbele Kama balozi dollar soul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…