Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
ExactlySiyo biashara gani. Biashara yoyote iwayo huwezi kufanikiwa kama hauna nafsi ya ujasiriamali (enterprenual spirit).
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ExactlySiyo biashara gani. Biashara yoyote iwayo huwezi kufanikiwa kama hauna nafsi ya ujasiriamali (enterprenual spirit).
IKo frexh kwa town. Sasa wabongo break fast hotelin mala kala miogp cjui viaz. AsubhiFungua Bekary Kiwanda Cha mikate Na Uzoefu Kwenye Hili Tunaweza Kushirikiana
Kwa vle wewe n dalali sio muajiliw wa serikali kwamba muda mwingi upo kazin.biashara nyingi zinafeli kisa hamna usimamizi haupo vzuri.. kwa kazi yko unawez toka kdogo kazini kwenda kuchungulia kdogo kinqcho endelea kweny biashara zko.(side hustle)Wakuu, ni matumaini yangu wazima wa afya,
Nijikite Moja Kwa Moja kwenye mada husika. Naomba msaada juu ya biashara gani naweza fanya nikajikwamua katika hali ya chini.
Moja ktk harakati za utafutaji (Udalali), nimebahatika kufikia kiasi kadhaa Cha fedha 10M, changamoto ninayopitia mpaka sasa nimeshindwa kuiendeleza kutokana na kuwa sijajua nifanye biashara gani itakayo zalisha pesa kwa uharaka na bila maumivu makali.
Nimejaribu fatilia baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakilalamikia suala la tozo kuwa nyingi kwenye shughuli zao lakini pia haitoshi nikajaribi ingia kwenye kilimo jambo ambalo linahitaji muda wa ziada na utayari wa chochote ktk kuvuna au kupata hasara.
Natamani sana kufanya biashara na ni ndoto niliyokuwa nayo katika maisha yangu naomba maoni yenu, msaada, connection na elimu pia juu ya biashara.
#MEK
Dalali unamiliki milion 10 umeshindwa hata kununua shamba ukate viwanja vidogo vidogo kisha utumie udalali wako uuze kwa faida???????
Ama kweli penye miti wajenzi hakuna!!!!!!!
Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
Una madini sana Ndugu, bali wabongo ss sjui tupoje tu,yaani mtu akiona unatoa michongo km hii lzm atatokea wa kuvuruga tuu, BigUp sanaAcha Kaka Basi Tu Vile Nimeweka Kwa Ufupi Sanaa….Msoto Wa Kitaa Sio Poa…..Lazima Uwe Na Roho Ngumu Na Ujasiri Ku Make It.
Asante,nimejifunzaMimi nina rafiki yangu alifungua phamarcy kubwa tu tegeta karibu na rabinsinsia stock worth almost 25 M achilia mbali equipments, pc, shelves, rent, mishahara na mengine….hakutoboa miaka 2 akafunga na mkewe ni phamarcist, yani cases ni nyingi sana.
What people don’t know is that wanashindwa calculate estimates za profit margins vizuri + turnovers ambazo ndio za kuja ku cover business obligations na hyo tena ni mpaka mtu uuze sasa imagine mtu kalaza stock ya 25 M mpaka auze ndio aone profit. Wengi wanao toboa town hawategemei retail profits pekee unakuta pia ni whole salers mtu ku flip stock ya 15 M in hours ni kawaida sana kwa wholesale buyers achilia mbali supplies labda uwe na laboratory services hapo hapo…still inawezekana ila ni ujipange sanaa.
Tafuta simple means za ku build capital moja wapo hyo njia nliokuambia then ingia biashara ya kununua na kuuza fixed assets i.e. viwanja, magari etc hizi stocks ndogo ndogo yani labda uje umiliki 70+ M huko tena iwe target yako ni wholesale, kuwa na subra na have determination with your goals and savings.
Sasa wenzako wanaendesha bajaj au uber kwa siku mtu hakosi 40k - 60k net profit kashatoa mafuta…..mwisho wa mwezi ni nyingi sana ukitoa service and parts bado hela inabaki nzuri tu. Sasa wafate hawa biashara za maduka sijui nn follow all the principles uone kama utafunga 500K net profit kwa mwezi. We mpakaa uuze vitu dukani viishe ubadili stock mara kadhaa ndio ikulipe unafanya mchezo nn na hapo ni headache kibao.
Well Ni Mtazamo Wangu Wa Dhati From My Real Experience, Unaweza Upuuza Lakini.
HV unaongea pumba gani am speaking from my experience hzo Ni pesa nyingi oly mzigo atako uweka Hapo iwe Chini ya 17 milion plus KodiKwa huo mtaji mkuu utatosha,, anzia hesabu za chumba shelves Bado vifaaa na wapi pa kupatia vifaa,, kuagiza au kununua kwa wauzaji wa jumla?
Kwakweli hii id kila siku lazima nii-zoom, yaani hata sijui kwaniniNimeamini watu wengi hawana experience na biashara Zaid Sana wanazuona tu wala na kuanza kushauri
Huo mtaji ni mkubwa mno.
Kama upo dar nenda tegeta au jigamboni fungua duka kubwa la mabomba ya maji ya ndani na sanitari zake utakuja kunishukuru
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acha kupotosha watu kijana mm biashara yangu sikuanza na mamilion mkuuHajui Biashara Huyo Achana Nae….Mimi nimeshafanya biashara yani vitu kibao hadi nimedalalia scraper (vyuma chakavu) i seen many things.
Japo bado napambana ila ilifika muda nikiona mtu anaanza biashara yake mahali flani na ku zoom mazingira na ethics za huyo mtu i cud predict huyu mtu anafika mbali au la. Na 90% ya watu nliowa predict wata fail wali fail (Sijisifu ila ni yote kutokana na mitikasi ya ku hustle mtaani yani tafuta sana kujua vitu na misingi bora ya biashara imara ni zaidi ya kupewa mtaji 100M)
Kama kuna kitu namshukuru Mungu ni kuniwezesha kupata mtaji often wa kufanya biashara tofauti tofauti. Aisee i learned a lot.
Ukiona mtu amemiliki utajiri and yupo stable mpe heshima yake. Huyo mtu lazima yuko timamu mnoo mentally and spiritually.
Hapa ndio kuna ushauri mzuri kwa mtoa mada.Ukifungua duka, sijui mgahawa, sijui pub sijui banda la chips, sijui duka la nguo nakuapia utapoteza hyo hela. Mapemaa Saa 2 Asubuhi.
All u need ni shughuli ya kufanya na kuisimamia wewe mwenyewe ambae 100% utakua una deal nayo chances ukipata 10 M nyingine mara mbili yake tena about 20 M kama hyo ndio utaitumia kufungua biashara nlizotaja hapo mwanzo tena kwa kuangalia na mazingira kwa umakini otherwise uta lost big tym my friend.
Been There Done That, For now usifanye biashara Ambayo Utahitaji Kuajiri Watu Wakusaidie Maana Hao Ndio Pasua Kichwa Watakupiga na Kukuliza, Atleast Not For Now (Kuza Kwanza Mtaji Wewe Mwenyewe) Utapata uzoefu na kujifunza mengi sanaa, Hela Ina Codes Nyingi Sana Mkuu Hasa Mtaani.
USHAURI:
Nunua Bajaj / Gari Used not more that 7 M nyingine save for emergency purposes. Register chombo uber / bolt ingia kazini huku una piga mishe za udalali mbili tatu. Utastirika Sana, Biashara zenye nature ya logistics ndio zinazo waweka sana watu mjini iwe bajaj, uber, pick up, canter, fuso yani hizi japo ni challenge ila atleast mostly kama una deal nazo wewe mwenyewe first hand.
Utanishkuru Baadae.
Dah kweli life is not a rehearsal.Mimi nina rafiki yangu alifungua phamarcy kubwa tu tegeta karibu na rabinsinsia stock worth almost 25 M achilia mbali equipments, pc, shelves, rent, mishahara na mengine….hakutoboa miaka 2 akafunga na mkewe ni phamarcist, yani cases ni nyingi sana.
What people don’t know is that wanashindwa calculate estimates za profit margins vizuri + turnovers ambazo ndio za kuja ku cover business obligations na hyo tena ni mpaka mtu uuze sasa imagine mtu kalaza stock ya 25 M mpaka auze ndio aone profit. Wengi wanao toboa town hawategemei retail profits pekee unakuta pia ni whole salers mtu ku flip stock ya 15 M in hours ni kawaida sana kwa wholesale buyers achilia mbali supplies labda uwe na laboratory services hapo hapo…still inawezekana ila ni ujipange sanaa.
Tafuta simple means za ku build capital moja wapo hyo njia nliokuambia then ingia biashara ya kununua na kuuza fixed assets i.e. viwanja, magari etc hizi stocks ndogo ndogo yani labda uje umiliki 70+ M huko tena iwe target yako ni wholesale, kuwa na subra na have determination with your goals and savings.
Sasa wenzako wanaendesha bajaj au uber kwa siku mtu hakosi 40k - 60k net profit kashatoa mafuta…..mwisho wa mwezi ni nyingi sana ukitoa service and parts bado hela inabaki nzuri tu. Sasa wafate hawa biashara za maduka sijui nn follow all the principles uone kama utafunga 500K net profit kwa mwezi. We mpakaa uuze vitu dukani viishe ubadili stock mara kadhaa ndio ikulipe unafanya mchezo nn na hapo ni headache kibao.
Well Ni Mtazamo Wangu Wa Dhati From My Real Experience, Unaweza Upuuza Lakini.
Biashara ni imani, kila mtu anaamini bizness yake mfano mimi sipendi biashara ya butcher 😁😁😁U mean logistics ??