Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

I second you,watu wako na secrets nyingi sana hadi kupata success ila kuna watu hawajui haya mambo.
Utakuta mtu ameona jamaa anamiliki Supermarket mahali na anaona wateja wanaingia na kutoka anachukulia rahisi huku anajisemea moyoni yaani na mimi nikienda kukopa mkopo wa milioni 60 nikafungua supermarket kama ile mahali nishatoboa tayari[emoji3]

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii style nimeigundua ni nzuri sana kwa sababu unakuwa na wateja locations zote haijalishi uko wapi,ukifanya ndani ya mwaka unaiona impact yake

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mimi nimejump hizo zote nafocus kwenye u broker/middleman.
Kuna mwaka mmoja nilipata funzo sina hamu na hizo biashara za retails kufungua fremu kisha unamngojea mteja aje,nilichapika mbaya[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Hizo Logistics natured business ni kama zipi kaka, Naomba nipe mfano
 

Biashara za kifal@ hzo labda uwe na mtaji mkubwa enough wa kuwa wholesaler. Maduka ya Mangi Haya Watu Wana Sota For Years Wanatoboa Kwa Kusua Sua Hapo Usisahau Ghetto Lake Ni Humo Humo Dukani Wengine Wanalala.

No Way, I Hustle Different Bruv. Maisha Tunayatafuta Ila Sio Ki Mateso Hivyo U Gotta Have That Metro Mentality (Mtoto Wa Mjini) Chief but All Legit.

Hapo Kariakoo Kuna Vijana Hawana Frame Wala Store ila Wapo Wengine Wana Store Ila Kila Siku anaingiza 100k - 250k ni u middleman tu wana network zao za watu sehem tofauti tofauti hasa kwenye vifaa vya umeme kule.
 
Ni kweli wale wakina Mangi na Waha wakijaga town kuanza biashara ya duka huwa wanasota,wanaishi maisha ya kigumu sana mtu wa kawaida hawezi kuishi vile.
Kwanza wanalala humohumo kwenye kiosk,kula kwa siku mlo mmoja either dinner au lunch,utakuta ana suruali moja au mbili atavaa mwaka mzima.
Na kama ana mke na watoto anawaacha kijijini na atakaa mwaka mzima bila kugusa mwanamke na hataki mazoea na mwanamke then baada ya miaka 3 ndio anapata auheni angalau atapanga chumba na kumleta mke wake town.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 

Sio Kwamba Ni Vibaya Kuishi hivyo, Naaah huyo mtu unakuta hana ndugu mjini hata kama wapo ni wale ndugu kitu hawasaidii nobodys. Sasa mtu anaona ya nn acha nikaze mwenyewe…..kigumu. Hata mzee wangu ametokea kwenye hili life. Nyumba aliyokua anakaa alivyotoka moshi huko hapo tandale hadi leo ipo alinionyesha.

Ila kwa wewe ambae chances umezaliwa hapa dar una sehem ya kuishi sio ya kuomba omba una mazingira mazuri ya kufanikiwa zaidi shida watu hawataki kujiongeza au kunoa ubongo….Game linataka uminye ubongo haswaa. Anything is Possible.
 
Ni kweli wengi huwa wanafeli kwa kuishi kwa mazoea

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaweza kuielezea hii kwa upana kidogo?
 
Umeandika ukweli ndugu..hasa kwenye kusimamia mwenyewe au ndugu unaemuamini Sana Kama umebanwa Sana..
Hakika biashara za usafirishaji zinamtoa
 
Hawana hiyana humu wanamjavi
 
Kanunue basic needs vitu vya madukani kwa jumla viwandani, weka stoo then we unawauzia wenye maduka kwa bei ya rejareja
I tried this business and nilichugundua bora uwe na product yako either una-import or una-produce, hizi za kuchukua madukani sina faida ndogo na kuna competition sana kutoka kwa giants. Pia wateja wanakopa sana nadhani ni nature ya soko. Imagine unauza mzigo let say wa TZS 2,000,000 unapata faida 100k then mtu anakulipa within 1wk had 2wk.
 
Nilijua wanakuonea. Kumbe kweli hujui kitu kwenye biashara
 
Kama una akili za kusave mpk 10M
Nina imani na akili za kutafuta na kuchanganua business plans mbali mbali unazo.
Relax.. usijepukutisha hizo pesa.

Wanakuja wajuvi
tudada tusichosuka huwaga na tuakili twa hapa na pale sana

napendaga sana mawazo yao,usisuke hivyo hivyo chalii angu uwe unatoa pwenti pwenti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…