Biashara gani ndogo kwa uwekezaji mdogo, inaweza kukupa faida ya shilingi 5000 kwa siku?

Biashara gani ndogo kwa uwekezaji mdogo, inaweza kukupa faida ya shilingi 5000 kwa siku?

Nimejaribu kutazama mbali kama ifuatavyo:- Uwe na point 100, na kila point ikupatie faida ya 5000 kwa siku. Mapato kwa mwezi yatakuwa= 5000 x 30 x 100 = 15,000,000/=; ndio nafikiria ni biashara ipi inayoweza kuleta hicho kiasi.
Hapana hiyo haitafanya kazi practically.
Sababu ni kwamba kwa hiyo idadi hautaweza kuzimanage zote kwa ufasaha mwisho wa siku utakula hasara na zote zitapukutika.
Hiyo ni sawasawa na mtu anayenunua bodaboda 10 kwa mpigo akitegemea zitamletea milioni 3 kila mwezi ila baadae inakuwa pasua kichwa zinapungua idadi hadi zinaisha zote bila kuiona milioni 3 aliyoipigia hesabu za kwenye makaratasi.
 
Mfano, ukiwa na wasimamizi 10 na kila mmoja akawa ana audit point 10, hapo itakuwa ngumu kufanikisha?
 
Hapo sasa inategemea na hao wasimamizi vichwa vyao pamoja na uaminifu wao vinginevyo watakuzunguka kula pamoja na hao wanaowasimamia si unajua magumashi ya wabongo
Hapo ndipo ilipo changamoto, ila kama nitawatumia wajane nadhani kunaweza kukawa na unafuu, na kabla ya kuanza kazi inabidi kuanza kwa sala ili kuwajengea hofu ya Mungu.
 
Hapo ndipo ilipo changamoto, ila kama nitawatumia wajane nadhani kunaweza kukawa na unafuu, na kabla ya kuanza kazi inabidi kuanza kwa sala ili kuwajengea hofu ya Mungu.
Na kitu kibaya zaidi huwezi kumjua mtu ni muaminifu au la kama haujaanza naye from scratch.
Namaanisha huyo mtu ni lazima uwe ulianza naye chini kisha ukapanda naye polepole na kufika juu kanuni ya biashara ndio inataka hivi.
Ila ukisema eti umetosa mtaji wako mkubwa umeanzia level za juu kisha unaokota watu wakusimamie aisee watakufanya kitu kibaya hautasahau maishani mwako na hakuna rangi utaacha kuona
 
Kwa mazingira hayo, ni nini kifanyike ili hasara isipatikane?
 
Kwa mazingira hayo, ni nini kifanyike ili hasara isipatikane?
Lazima uanzie chini na ujifunze kiundani huo mradi unaotaka kufanya na wakati huo unawachuja vijana watakaokufaa kufanya kazi na wewe.
Kama target yako ni kuwa na vibanda 100 anza na vibanda vitatu kwa ajili ya kuisoma vizuri ujue faida na hasara zinapatikanaje baadae hata usipokuwepo wasaidizi wako wakikudanganya unajua
 
Biashara ya Poor Brain anaiingiza faida elf 10 kila siku kwa mtaji wa laki.

Anauza chenji, katika kila elf 10 ana buku akiuza chenji za laki ana elf kumi anarudi kulala wala hatoki jasho anapeleka tu vituo vya daladala vitatu laki imeisha anarudi home kulala

Ukitaka elf 5 unauza za elf 50 tu unarudi kulala 😃
Ahahahahha nimecheka sana aiseeeee... Hivi kwanini nivuje jasho wakati kazi laini zipo..

Mfano kwa sasa kuna kazi nyingine nimeunga pale kwenye kimeza cha chenji hapa gongo la mboto kituo kipya pia nauza dawa zinaitwa MUKIKU hizi dawa za kufanya mwanaume arudie tendo mara kwa mara na nimetengeneza mwenyewe...

Pia nina kituo cha ushauri ambacho unapata ushauri wa YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ
 
Back
Top Bottom