Biashara gani ndogo kwa uwekezaji mdogo, inaweza kukupa faida ya shilingi 5000 kwa siku?

Kama upo Dar unanunua mafuta dumu au ndoo wanauza 70000 unapima kwa elfu nne lita sokoni bas kila siku utalala na elfu kumi na ndoo utazikosanya utauza jumla sichini ya elfu nne kila ndoo biashara ni nyingi
 
Kutakuwa na uwezekano wa kumaliza mafuta yote kwa siku?
 
Back
Top Bottom