Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Mkuu nipo nipo tuu aiseeeeWewe sio mtu wa kawaida unatuchora ila sawa siongei sana nisije nikafungua code bure
Mkuu nipo nipo tuu aiseeeeWewe sio mtu wa kawaida unatuchora ila sawa siongei sana nisije nikafungua code bure
Unawapa mamantilie 100000 kila siku jion unafuata 4000 na ukoko anakubalansiaNi biashara ipi, kwa uwekezaji mdogo usiozidi 100,000 inaweza kukupa faida ya shilingi 5,000 kwa siku?
Unatuigizia wewe upo kwa special missionMkuu nipo nipo tuu aiseeee
Betting. 100%Ni biashara ipi, kwa uwekezaji mdogo usiozidi 100,000 inaweza kukupa faida ya shilingi 5,000 kwa siku?
Aaaaah wPi mkuu mi ni nipo tuUnatuigizia wewe upo kwa special mission
Nakazia mkuu 📌Kama ni mwanaume
Jaribu kukusanya vyuma chakavu majumbani na unaenda kuwauzia wakusanyaji wakubwa, yaani ukinunua vyuma vya laki 1 hukosi 15k ya kwako
Au nunua matairi, maplastic hii ni biashara ambayo wengi hawajastuka utajiri
Mwanamke
Pika uji alfajiri na jioni
Tembeza stend au sokoni, huwezi kosa faida ya 15k
Baki hivyo hivyo kuna jamaa anauza tshirt na mwingine mashati wanapiga pesa nzuriWanao wana mengine wanafanya mkuu kuwa makini...
Stuka stuka wewe
Matairi na maplastic wanaenda Kuuza wapiKama ni mwanaume
Jaribu kukusanya vyuma chakavu majumbani na unaenda kuwauzia wakusanyaji wakubwa, yaani ukinunua vyuma vya laki 1 hukosi 15k ya kwako
Au nunua matairi, maplastic hii ni biashara ambayo wengi hawajastuka utajiri
Mwanamke
Pika uji alfajiri na jioni
Tembeza stend au sokoni, huwezi kosa faida ya 15k
Mtaji wa 10, 000,000/= kwa mwezi upate 5,000,000/= faida.Nimejaribu kutazama mbali kama ifuatavyo:- Uwe na point 100, na kila point ikupatie faida ya 5000 kwa siku. Mapato kwa mwezi yatakuwa= 5000 x 30 x 100 = 15,000,000/=; ndio nafikiria ni biashara ipi inayoweza kuleta hicho kiasi.
Sema haupo seriously kabisaBaki hivyo hivyo kuna jamaa anauza tshirt na mwingine mashati wanapiga pesa nzuri
Matairi na maplastic wanaenda Kuuza wapi
Inawezekana kabisa, mfano wauza barafu/ice cream n.kMtaji wa 10, 000,000/= kwa mwezi upate 5,000,000/= faida.
Ni rahisi kukupa hasaraBetting. 100%
Hili pia ni wazo zuri kama utapata waelewaUnawapa mamantilie 100000 kila siku jion unafuata 4000 na ukoko anakubalansia
zipo nyingi ata ukiamua kuuza matunda unapata zaidi ya hio hela, ila ushauri wangu ni biashara zozote ambazo zinahitaji uwepo wako achana nazo, biashara ambazo unaweza kuweka mtu ndo nzuri kwako ztakusaidia kutanua biashara nyingi sanaNi biashara ipi, kwa uwekezaji mdogo usiozidi 100,000 inaweza kukupa faida ya shilingi 5,000 kwa siku?
Hizi za kuweka mtu ndio nzuri zaidi, kwa sababu itapelekea uwe na maeneo mengi ya biashara. Mfano kama utafanikiwa kuwa na maeneo 100, hapo lazima kipato kitakuwa kizuri sana.zipo nyingi ata ukiamua kuuza matunda unapata zaidi ya hio hela, ila ushauri wangu ni biashara zozote ambazo zinahitaji uwepo wako achana nazo, biashara ambazo unaweza kuweka mtu ndo nzuri kwako ztakusaidia kutanua biashara nyingi sana
Iko juu kwa sasa 1 gram - 297,755/-Trade gold
sahihi kabisaHizi za kuweka mtu ndio nzuri zaidi, kwa sababu itapelekea uwe na maeneo mengi ya biashara. Mfano kama utafanikiwa kuwa na maeneo 100, hapo lazima kipato kitakuwa kizuri sana.
Changamoto ni kuwapata hao vijanaHuku nlipo ukiwa na madogo shapu wawili unawapa mayai ya kuchemsha kila mmoja mayai 50 kila sku trei ya mayai huku ni elf 10, yai 1 la kuchemsha ni 500 nadhan umeshapata pcha sasa pesa inayopatkana. Mahtaji ni sufuria kubwa pamoja na mfuniko wake 20,000, pilipili ya unga na chumvi 2,000, videli viwili 7,000, mishahara yao wote 80,000, chumba chao huku vyumba kuanzia elf 5, chakula chao wanapkiwa home mlo wa mchana na usku tu 4,000, mkaa kila sku 1000 mahtaji mengne kila sku 1000.