Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Ngoja nijaribu kuwa motivation speaker

hela ungechukua ungenunua kiwanja Cha million moja weka Banda la kuku au fugia kwako Kama Kuna nafasi .. ununue kuku wa million milion mbili chakula Cha laki nne ..wakianza taga unajaza canter
 
Your right
 
Maana ya faida ni baada ya kutoa gharama zako zote pamoja na hiyo mishahara n. k.
 
Ukiwekeza hiyo 300m utt amis unapata return ya above 3m kwa mwezi ukiwa umekaa tu nyumbani. Kupanga ni kuchagua
 
Jamaa kawekeza 300m sio 500m. Mbona simple. Kama unatumia 2m Kwa mwezi Kwa mwaka ni 24m. Miaka 10 ni 240m, miaka 20 ni 480m.
 

Yap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…