let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Yaani Jf 😕😕Hiyo hela huku kwetu sisi wazee wa forex unaidable kwa miaezi 3 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Jf 😕😕Hiyo hela huku kwetu sisi wazee wa forex unaidable kwa miaezi 3 tu
MwakaKwa mwaka au kwa mwezi
Unafuu ni hamna kukimbizana na TRA, Mgambo wa jiji, Salary payments wala kodi ya pangoSasa 12% ya 300m ni 36mil....hii ni faida kwa mwaka...ukiigawa kwa miezi 12 unapata 3m. maanake faida kwa mwezi ni hiyo 3mil...unafuu uko wapi apo?
Hii factor watu wanaipuuza sana lakini maisha bila stress raha sanaFaida ambayo haina stress lakini
Kama huna mganga mzuri lazma yaozeeBihashara kichaaa iyo umeona, watu wana magari yamepaki kwy Yard yanaoza unasema unapata faida
Your rightDuh brother, sikubaliani na wewe:
300m x 12% = 36m
36m/12 = 3m paid annually.
Scenario ya pili
300m x 15 = 45m
45m/12 = 3.75m paid after 6 months 22.5m
Hizi zote ni risk free investment.
Yeye amesema anapata 5m/m lakini bado ana obligation ya kulipa wafanyakazi na hela yake anaipata kila mwezi.
Miezi 6 unasubiri hela ya BOT utajikuta umeishakopa kwingine au umekula mtaji kwingine.
Kwa mtu wa mahesabu kupata 5m/m from 300m investment inaoonyesha hakuwa makini kuchagua wapi awekeze hela yake.
There are better investment opportunities with higher ROI than the one he went for.
Wakusikia na asikieNi ushauri mzuri.
BOT wamepunguza pia interest rates zao za Treasury bonds lakini hazipungui 12%.
Kama mtu hutaki stress za biashara ni kuwekeza huku..!
Naweza kuja inbox?Pharmaceutical industry........uki itaji hii gemu nakuchorea Ramani & the rest will be history
Umaskini inabid tuukimbize kilomita nyingi Sanaa....
Haya ya mganga sio kweli boss. 😅😂Kama huna mganga mzuri lazma yaozee
Sio faida tu watakua waajiriwa wa ziada maana kila muda unao mlangoniTatizo polisi lazima ukule nao faida.
kabisa sijui kwa niniKama
Ukilenga ist kwa million 7 kisha ukaingizia laki 5 unaweza kuja kuiuza 9m kwa haraka ikawa ni ongezeko la million2. Ukiuza gari 3 kwa mwezi una bei gani???
Akichomoka na m2 hapo ntampa kongoleeUkumbuke sasa ana headache na hajalipa mishaara kwenye hio 5m
Maana ya faida ni baada ya kutoa gharama zako zote pamoja na hiyo mishahara n. k.Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
hawajaenda shule lakini wanaelimu ya Biashara na ulozi.Ni Kama mm mwaka 2018 nilkuwa na cash in hand milion 14 Sasa HV mm naombaonba pesa za kula mjini kwlei yaani biashara hz sisikie tu ndio maan sinafanywa na watu ambao hawajaenda shule
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jamaa kawekeza 300m sio 500m. Mbona simple. Kama unatumia 2m Kwa mwezi Kwa mwaka ni 24m. Miaka 10 ni 240m, miaka 20 ni 480m.Mkuu sijui umepigaje hesabu zako
Simple mathematics fanya hivi;
Mwaka mmoja una miezi 12, hivyo miaka 20 itakuwa na miezi 20 x 12 = 240
Kwa matumizi ya 2M kwa mwezi, hivyo kwa miezi 240 ni sawa na 240 x 2,000,000 = 480,000,000/-.
Hapo inabakia chenchi ya 20M kufikisha 500M. Hiyo chenchi itafunika gap la inflation. Hivyo unaishi zako maisha very decent for the next 20 years kwa 2M kwa mwezi bila stress kabisa. Matumizi ya kawaida ya 2M kwa mwezi ni matumizi ya maisha ya kibongo daraja la kati kabisa. Maisha safi tu.
Math says utapata laki moja.Sasa Mimi haka ka milioni Sita kangu nikiwekeza kwenye biashara si nitapata faida elfu Tano?
Imagine mwenzangu umewekeza 300milioni faida ni 5 milioni?
Atakupoteza huyo hakuna biashara hapoHii imetulia. Ni biashara gani hiyo mkuu?
Wengi humu watoa michango wengi sio wafanyabiashara yani wanatoa mawazo kutoka Sehemu A waliposikia wanaleta humu na anticipation zao za juuu.
Msidanganyikee wanaofanya biashara wanajua wanachopata. Na wengine wanataja faida za juu wakati wanakula loss kila siku ili uingie na ww ukale loss kama yao hyo inaitwa kifo cha wengi.
So kama unataka bness fanya ile unaipenda ww na usitake mafanikio kwa haraka tengeneza jina na loyal customers wako ipanue na ipo siku utaona mafanikio. Is what am doing now