mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Huku mkuu panahitaji maarifa ya kutosha karibia kwenye kila angle!
'Ukimili truck(s) kwanza ni lazima ujue kuendesha , uyajue maeneo physically gari zinakozungukia, ujue namna ya kupata kazi, ujue jinsi ya kuishi na mamlaka na kubwa zaidi ujue manunuzi na mchakato mzima wa maintenance (to keep trucks running)!!!!'Huku mkuu panahitaji maarifa ya kutosha karibia kwenye kila angle!
Kila angle utakayokosa maarifa ndiyo point yako yakupigwa..
Ukimili truck(s) kwanza ni lazima ujue kuendesha , uyajue maeneo physically gari zinakozungukia, ujue namna ya kupata kazi, ujue jinsi ya kuishi na mamlaka na kubwa zaidi ujue manunuzi na mchakato mzima wa maintenance (to keep trucks running)!!!!
Hizo ni baadhi tu ya angle ambazo ukilegea, you will be phased out na ukizimudu utakuwa umeketi kwenye mfereji wa pesa!!![emoji28][emoji28][emoji28]
"TRUCKING NEEDS PASSION"
Labda uwekeze kwenye Bank nje ya nchi..Mkuu hili swali Kila siku narudiaga kukuuliza nisamehe kwa usumbufu. Vipi nikiwekeza Sasa hivi 1 m USD kwenye fixed account faida ntapata ngapi kwa mwaka?
Unapewa Interest rate ya 10% na huku mtaani unakuta inflation kwny bidhaa ziko >10%,hapo Ni kujilisha upepo tu'.We jamaa...
4mil kama uliiiweka bank mwaka 2019 unakuja kuitaoa leo 2022 unajuwa thamani ya pesa yako imepunguwa kwa kiasi gani ??
Inflation kabla ya corona hafi corona mpaka leo!!!,
Tozo yakutoa 4mil ni kiasi gani leo ??
Bidhaa za chakula / huduma zimeongezeka kwa kiasi gani ?
Tupe mifano hai ya biashara hizo...Wasomi chakarikeni kuna biashara mitaji midogo sana faida yakutosha tafuteni maarifa yalipojificha msipeane moyo vinginevyo hawa wasiosoma kila siku watawaacha mbali kwenye swala zima la kujiajiri.
Vijana wa boda bda wa mkoani au wa Dar huko buza ilala, m.nyamala??Jamaa alitisha
Maana vijana wa bdbd zaidi ya 400 kukaa nao mkaelewana si mchezo
Una uhakika Gani kaweka hiyo!!? Maana Jf HUMU Kila mtu tajiri.Sasa Mimi haka ka milioni Sita kangu nikiwekeza kwenye biashara si nitapata faida elfu Tano?
Imagine mwenzangu umewekeza 300milioni faida ni 5 milioni?
Hahahaha secret society...Inner circle ya illuminati,Acha uchoyo bana... Inner cycle,, !! Inner cycle ... Badala kuwapa watu mchongo umekazana na inner cycle. Tupe hizo deal tuzijue
Ni kwamba haina Faida kulingana na mtajiKwamba biashara haitakua, au hukuona kaandika ndio ameanza?
Nasikia BOT wamepunguza asiliniaYes sir
Very few businesses zinaanza na profit lakini eventually after some time zinaweza kuleta faida kubwa.Ni kwamba haina Faida kulingana na mtaji
Nikikupa milion 10 waniletea kiasi gani kila mwezi?Mi nimemwambia anipe ml 30 tu nimletee 8 per month only 30 ml nitakuwa namletea retun as a profit ya 8 to 9ml hii si uchawi wala ndumba mzee ninachomwambia nina uhakika nacho na ndo biashara ninayoifanya kwa sasa sema kidogo mtaji wangu bado ni mdogo bt nimuhakikishie uyo jamaa kwenye biashara ninayoifanya mimi kama angewekeza iyo 300ml basi kwa mwezi faida yake baada ya kukata gharama za uzalishaji angekuwa anachukua 40 to 50 ml hii si uchawi wala ndumba naongea kitu ninachokifahamu coz mimi ndo iyo biashara nafanya sema ngoja kwanza niukuze mtaji siku moja nitarudi katika huu uzi na mrejesho mzuri juu ya uyu ndugu
Kanuni ya mjasiriamali mi moja tu wazee biashara yenye risk kubwa ndo inafaida kubwa mno na biashara yenye risk ndogo ujue na faida yake itakuwa ni ndogo sana ssna
Na kubaliana na wewe, Shida hapa mwenye Uzi wake hakutuambia type of business hivyo tunashindwa kufanya valuation.Very few businesses zinaanza na profit lakini eventually after some time zinaweza kuleta faida kubwa.
I'm not financial advisor lakini ni kushauri tu kwa kipinfi hiki na hali ya uchumi ulivyo kuweka pesa bank means kupoteza hela na sio kupoteza kidogo ni sanaa , haijalishi iwe mobile money/Bank ..Upo vizuri mkuu nimesoma kila kituo...wewe inaoneka ni mshauri wa biashara.
Mi nina tatizo natamani nilianzishie uzi japo watu watasema ni chai.naomba nishauri hapa hapa
Mkuu mimi biashara yangu nimeanza 2020 mwezi dec ndo mzigo wangu wa kwaza kuingia.
Ki ukweli sijawahi kopa nimekisanya mtaji kidogo kidogo.
Mpaka sasa hivi biashara mtaji wako sio mkubwa ila mzunguko ni mkubwa sana.
Yaani kwa wiki 1M kawaida inategemea na mzigo ulioko dukani.maana miziho inakuja na kuomdoka tatizo langu ni hivi
1.kwa kuwa bado nahitaji kukuza mtaji basi nimekua mtu wa mawazo na usingizi kukata yaani silali.mwanzo hapo kati hata jf nilikua siingii ila sasa hivi naingia kupoteza mawazo..
Yaani nawaza sana kuliko kipindi sina ela.yaani mawazo yangu nikiinza lki nataka laki mbil..yaani siridhiki..sion faida saa ingine
Swali langu hivi kuna siku utafanya biashara ufikie hatua relax kweli au ni mateso tu
2.hivi wafanya biashara wakubwa pesa zao wanaweka bank kwwli?
Andika vizuri, msomi wa iaa Arusha ..ili utupe elimu sisi tusiojuwa Bond ni nini!Broo Extrovert umenikumbusha mbali San jinsi unavyodadavua somo la government bond umenikumbusha mwalimu wangu wa financial management nikiwa iaa Arusha pale ticha Yuko nondo mbaya na Uzi na wew umeifa sna ktk Bondi nafurahia mno somo unaloleta humu
Hkk nimeamini humu ndani Kuna watu Bado San hawajui kitu mpk mtu anauuliza bond Ni kitu gani na inafanyaje Kaz duh Kaz kweli ndio maan wanalalamika kila siku kuhusu biashara z mafrehemu na majumba
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mzee kwanza unayobiyo ela ama unajiongelesha tu apa kujifurahisha kama unayo na unahitaji biashara kweli nitafute tutae chini tukubaliane tuandikishane tuweke makubaliano alafu mwezi mmoja ni grace period lakini mwezi wa pili unaanza kupokea kiasi tutakachokubaliana bila wasi wasi mzee wangu na wewe mwenyewe utarudi apa jukwaani kutoa ushuhuda mzee ninachokwambia nakijua na ndo biashara ninayoifanya ila mimi mtqji wangu bado ni mdogo sana ndo najikusanya kuangalia kimtaji changu kikue mkuu ila kama unayo iyo ela na ungependa kuiwekeza basi iwekeze kwangu serious hutojutia naongea kitu nachokijua ila wewe wa mzeeNikikupa milion 10 waniletea kiasi gani kila mwezi?
hakika kuna baadhi ya watu hawajuii hata fixed dipostAndika vizuri, msomi wa iaa Arusha ..ili utupe elimu sisi tusiojuwa Bond ni nini!
Ielezee kidogo mkuu funguka...!Mkuu unaijua biashara ya mabeli ya mtumba kweli? Yale ya kuagiza China, Dubai na kuja kuuza bongo?
Watu wanachanganya sana kati yaUnajua nimecheka
Kula mshahara raha jamani
Kwenye biashara kuna hela ni unajikopesha na irudi Kama ilivyo
Saa nyingine Bora kuajiriwa tu