Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Huku mkuu panahitaji maarifa ya kutosha karibia kwenye kila angle!

Kila angle utakayokosa maarifa ndiyo point yako yakupigwa..

Ukimili truck(s) kwanza ni lazima ujue kuendesha , uyajue maeneo physically gari zinakozungukia, ujue namna ya kupata kazi, ujue jinsi ya kuishi na mamlaka na kubwa zaidi ujue manunuzi na mchakato mzima wa maintenance (to keep trucks running)!!!!

Hizo ni baadhi tu ya angle ambazo ukilegea, you will be phased out na ukizimudu utakuwa umeketi kwenye mfereji wa pesa!!![emoji28][emoji28][emoji28]

"TRUCKING NEEDS PASSION"
 
Huku mkuu panahitaji maarifa ya kutosha karibia kwenye kila angle!

Kila angle utakayokosa maarifa ndiyo point yako yakupigwa..

Ukimili truck(s) kwanza ni lazima ujue kuendesha , uyajue maeneo physically gari zinakozungukia, ujue namna ya kupata kazi, ujue jinsi ya kuishi na mamlaka na kubwa zaidi ujue manunuzi na mchakato mzima wa maintenance (to keep trucks running)!!!!

Hizo ni baadhi tu ya angle ambazo ukilegea, you will be phased out na ukizimudu utakuwa umeketi kwenye mfereji wa pesa!!![emoji28][emoji28][emoji28]

"TRUCKING NEEDS PASSION"
'Ukimili truck(s) kwanza ni lazima ujue kuendesha , uyajue maeneo physically gari zinakozungukia, ujue namna ya kupata kazi, ujue jinsi ya kuishi na mamlaka na kubwa zaidi ujue manunuzi na mchakato mzima wa maintenance (to keep trucks running)!!!!'

Noted with much thanks mkuu.
 
Mkuu hili swali Kila siku narudiaga kukuuliza nisamehe kwa usumbufu. Vipi nikiwekeza Sasa hivi 1 m USD kwenye fixed account faida ntapata ngapi kwa mwaka?
Labda uwekeze kwenye Bank nje ya nchi..
kwasasa bongo utapata hasara tu Tozo na hiyo fixed deposit ukutane na withholding tax.

na katika kipindi hiki inflation inaenda kwa kasi sana ukizingatia watu wanao control uchumi wa dunia wamechacha maa sana kuvuruga mambo kila baada ya 10yrs mara cotona mara vita etc.

Dollar na euro sasa zinaenda sambamba
 
We jamaa...

4mil kama uliiiweka bank mwaka 2019 unakuja kuitaoa leo 2022 unajuwa thamani ya pesa yako imepunguwa kwa kiasi gani ??

Inflation kabla ya corona hafi corona mpaka leo!!!,

Tozo yakutoa 4mil ni kiasi gani leo ??

Bidhaa za chakula / huduma zimeongezeka kwa kiasi gani ?
Unapewa Interest rate ya 10% na huku mtaani unakuta inflation kwny bidhaa ziko >10%,hapo Ni kujilisha upepo tu'.
 
Wasomi chakarikeni kuna biashara mitaji midogo sana faida yakutosha tafuteni maarifa yalipojificha msipeane moyo vinginevyo hawa wasiosoma kila siku watawaacha mbali kwenye swala zima la kujiajiri.
Tupe mifano hai ya biashara hizo...
 
Sasa Mimi haka ka milioni Sita kangu nikiwekeza kwenye biashara si nitapata faida elfu Tano?
Imagine mwenzangu umewekeza 300milioni faida ni 5 milioni?
Una uhakika Gani kaweka hiyo!!? Maana Jf HUMU Kila mtu tajiri.
 
Acha uchoyo bana... Inner cycle,, !! Inner cycle ... Badala kuwapa watu mchongo umekazana na inner cycle. Tupe hizo deal tuzijue
Hahahaha secret society...Inner circle ya illuminati,

alièsma kanye west we in this party and no body invited me
 
Mi nimemwambia anipe ml 30 tu nimletee 8 per month only 30 ml nitakuwa namletea retun as a profit ya 8 to 9ml hii si uchawi wala ndumba mzee ninachomwambia nina uhakika nacho na ndo biashara ninayoifanya kwa sasa sema kidogo mtaji wangu bado ni mdogo bt nimuhakikishie uyo jamaa kwenye biashara ninayoifanya mimi kama angewekeza iyo 300ml basi kwa mwezi faida yake baada ya kukata gharama za uzalishaji angekuwa anachukua 40 to 50 ml hii si uchawi wala ndumba naongea kitu ninachokifahamu coz mimi ndo iyo biashara nafanya sema ngoja kwanza niukuze mtaji siku moja nitarudi katika huu uzi na mrejesho mzuri juu ya uyu ndugu

Kanuni ya mjasiriamali mi moja tu wazee biashara yenye risk kubwa ndo inafaida kubwa mno na biashara yenye risk ndogo ujue na faida yake itakuwa ni ndogo sana ssna
Nikikupa milion 10 waniletea kiasi gani kila mwezi?
 
Shi
Very few businesses zinaanza na profit lakini eventually after some time zinaweza kuleta faida kubwa.
Na kubaliana na wewe, Shida hapa mwenye Uzi wake hakutuambia type of business hivyo tunashindwa kufanya valuation.
 
Upo vizuri mkuu nimesoma kila kituo...wewe inaoneka ni mshauri wa biashara.
Mi nina tatizo natamani nilianzishie uzi japo watu watasema ni chai.naomba nishauri hapa hapa
Mkuu mimi biashara yangu nimeanza 2020 mwezi dec ndo mzigo wangu wa kwaza kuingia.
Ki ukweli sijawahi kopa nimekisanya mtaji kidogo kidogo.
Mpaka sasa hivi biashara mtaji wako sio mkubwa ila mzunguko ni mkubwa sana.
Yaani kwa wiki 1M kawaida inategemea na mzigo ulioko dukani.maana miziho inakuja na kuomdoka tatizo langu ni hivi
1.kwa kuwa bado nahitaji kukuza mtaji basi nimekua mtu wa mawazo na usingizi kukata yaani silali.mwanzo hapo kati hata jf nilikua siingii ila sasa hivi naingia kupoteza mawazo..
Yaani nawaza sana kuliko kipindi sina ela.yaani mawazo yangu nikiinza lki nataka laki mbil..yaani siridhiki..sion faida saa ingine
Swali langu hivi kuna siku utafanya biashara ufikie hatua relax kweli au ni mateso tu
2.hivi wafanya biashara wakubwa pesa zao wanaweka bank kwwli?
I'm not financial advisor lakini ni kushauri tu kwa kipinfi hiki na hali ya uchumi ulivyo kuweka pesa bank means kupoteza hela na sio kupoteza kidogo ni sanaa , haijalishi iwe mobile money/Bank ..
Kwanza unaweka hela ya kufanyia biashara bank ifanye nini?
 
Broo Extrovert umenikumbusha mbali San jinsi unavyodadavua somo la government bond umenikumbusha mwalimu wangu wa financial management nikiwa iaa Arusha pale ticha Yuko nondo mbaya na Uzi na wew umeifa sna ktk Bondi nafurahia mno somo unaloleta humu

Hkk nimeamini humu ndani Kuna watu Bado San hawajui kitu mpk mtu anauuliza bond Ni kitu gani na inafanyaje Kaz duh Kaz kweli ndio maan wanalalamika kila siku kuhusu biashara z mafrehemu na majumba

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Andika vizuri, msomi wa iaa Arusha ..ili utupe elimu sisi tusiojuwa Bond ni nini!
 
Nikikupa milion 10 waniletea kiasi gani kila mwezi?
Mzee kwanza unayobiyo ela ama unajiongelesha tu apa kujifurahisha kama unayo na unahitaji biashara kweli nitafute tutae chini tukubaliane tuandikishane tuweke makubaliano alafu mwezi mmoja ni grace period lakini mwezi wa pili unaanza kupokea kiasi tutakachokubaliana bila wasi wasi mzee wangu na wewe mwenyewe utarudi apa jukwaani kutoa ushuhuda mzee ninachokwambia nakijua na ndo biashara ninayoifanya ila mimi mtqji wangu bado ni mdogo sana ndo najikusanya kuangalia kimtaji changu kikue mkuu ila kama unayo iyo ela na ungependa kuiwekeza basi iwekeze kwangu serious hutojutia naongea kitu nachokijua ila wewe wa mzee
 
Unajua nimecheka

Kula mshahara raha jamani

Kwenye biashara kuna hela ni unajikopesha na irudi Kama ilivyo

Saa nyingine Bora kuajiriwa tu
Watu wanachanganya sana kati ya
aina za Uwekezaji, Biashara ,Kuajiriwa na kujiajiri...!

Sio kila Biashara ni Biashara, nyingine ni ajira (kujiajiri) tu
imagine umejiajiri hujilipi mshahara ,huna likizo,huna bima , hujilipi mshahara unaoeleweka
 
Back
Top Bottom