mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Huku mkuu panahitaji maarifa ya kutosha karibia kwenye kila angle!
Kila angle utakayokosa maarifa ndiyo point yako yakupigwa..
Ukimili truck(s) kwanza ni lazima ujue kuendesha , uyajue maeneo physically gari zinakozungukia, ujue namna ya kupata kazi, ujue jinsi ya kuishi na mamlaka na kubwa zaidi ujue manunuzi na mchakato mzima wa maintenance (to keep trucks running)!!!!
Hizo ni baadhi tu ya angle ambazo ukilegea, you will be phased out na ukizimudu utakuwa umeketi kwenye mfereji wa pesa!!![emoji28][emoji28][emoji28]
"TRUCKING NEEDS PASSION"