Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Huu ndio uhalisia, mleta mada anatuletea hadithi za sungura na fisi.Biashara niloanza nayo ni ya mil10.8
Ilikuwa inanipa faida ya 1.6 au 1m net profit kila uzo, ko kwa mwez mida mingine mpaka mil3
Japo nilipewa frame na stoo bure
Biashara niloanza nayo ni ya mil10.8
Ilikuwa inanipa faida ya 1.6 au 1m net profit kila uzo, ko kwa mwez mida mingine mpaka mil3
Japo nilipewa frame na stoo bure
Mkuu kwenye sector ya logistics hii pesa unaizungusha ndan ya muda mchache, ukitaka kama transporter (scania used imesimama unapata hata kwa USD 35,000) au kuchukua tender na wewe ugawe kwa sub contractors...logistics haijawahi kuangusha mtu makini! Watu wanatoka kwa mikopo.. wewe advantage mtaji unao! Kila la heri.
Seriously ninachokwambia na hiyo 7m nimeweka minimum hela unaweza pata mpaka 10m kwa week kwa 300m.
Just Google novatechfx come
Soma then kama you need more information lemme know.
Mil 5 anayopata ni 20%, hawezi kupata hiyo return kokote huko.Kwa hiyo hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
We utakua ni DalaliKama
Ukilenga ist kwa million 7 kisha ukaingizia laki 5 unaweza kuja kuiuza 9m kwa haraka ikawa ni ongezeko la million2. Ukiuza gari 3 kwa mwezi una bei gani???
Nijuacho mimi biashara nyingi ambazo zinaweza kumpa mtu faida nzuri ni zile ambazo ni za kawaida sana,tatizo linakuja kwa mtu mwenye mtaji mkubwa kuwaza biashara yenye muonekano wa sifa,na kumbe angeweza kufungia milion 270 na akatumia milion 30 tu kwenye biashara za kawaida kabisa na yamkini angeingiza hata milion 1 mpaka 2 per monthKuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Kama zipi mkuu?Nijuacho mimi biashara nyingi ambazo zinaweza kumpa mtu faida nzuri ni zile ambazo ni za kawaida sana,tatizo linakuja kwa mtu mwenye mtaji mkubwa kuwaza biashara yenye muonekano wa sifa,na kumbe angeweza kufungia milion 270 na akatumia milion 30 tu kwenye biashara za kawaida kabisa na yamkini angeingiza hata milion 1 mpaka 2 per month
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea
Hii chai mkuu au kweli?Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Hizi biashara ndogo yaani hata mchana ukila lunch ndo umekula nauli hivyo nyumbani utaenda kwa miguu...Sasa Mimi haka ka milioni Sita kangu nikiwekeza kwenye biashara si nitapata faida elfu Tano?
Imagine mwenzangu umewekeza 300milioni faida ni 5 milioni?
Kwa ufupi mtaji wake ni mdogo umilingamisha na expectation zake.Hiyo return ni ya juu sana sielewi kwa nini unalalamika. Ume invest 300M returns kwa mwaka ni 60M ambayo ni karibia 20%. hamna biashara nyingine yenye such high returns. Hata treasury bills/bonds annual returns ni around 10%.
Ni takribani miaka miwili Sasa; vipi unaweza kutoa ushuhuda au ulishakula mtaji?Mi nimemwambia anipe ml 30 tu nimletee 8 per month only 30 ml nitakuwa namletea retun as a profit ya 8 to 9ml hii si uchawi wala ndumba mzee ninachomwambia nina uhakika nacho na ndo biashara ninayoifanya kwa sasa sema kidogo mtaji wangu bado ni mdogo bt nimuhakikishie uyo jamaa kwenye biashara ninayoifanya mimi kama angewekeza iyo 300ml basi kwa mwezi faida yake baada ya kukata gharama za uzalishaji angekuwa anachukua 40 to 50 ml hii si uchawi wala ndumba naongea kitu ninachokifahamu coz mimi ndo iyo biashara nafanya sema ngoja kwanza niukuze mtaji siku moja nitarudi katika huu uzi na mrejesho mzuri juu ya uyu ndugu
Kanuni ya mjasiriamali mi moja tu wazee biashara yenye risk kubwa ndo inafaida kubwa mno na biashara yenye risk ndogo ujue na faida yake itakuwa ni ndogo sana ssna
Kwenye gawio la kila mwezi asilimia ni hiyo hiyo 12 au inakuwa 1Utt kianzio ni 50000. Ila unaruhusiwa kuongeza gawio muda wowote. Na faida kuanzia 50000-ml 5 utaingizwa kwa mwaka. Kuanzia ml5-ml10 gawio ni kila baada ya miez 6 . Nakuanzia mil10 nakuendelea gawio ni kila mwezi.
Inakuwa moja.Kwenye gawio la kila mwezi asilimia ni hiyo hiyo 12 au inakuwa 1
Hahahaha haha hawa walishapiga watu na kampuni sasa imepotea bila taarifa Kwa wateja wakeNahitaji kujua kuhusu novatec