Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Mkuu kwenye sector ya logistics hii pesa unaizungusha ndan ya muda mchache, ukitaka kama transporter (scania used imesimama unapata hata kwa USD 35,000) au kuchukua tender na wewe ugawe kwa sub contractors...logistics haijawahi kuangusha mtu makini! Watu wanatoka kwa mikopo.. wewe advantage mtaji unao! Kila la heri.

Mkuu unaweza kunipa namba yako hii unielekeze kiundani zaid
 
Seriously ninachokwambia na hiyo 7m nimeweka minimum hela unaweza pata mpaka 10m kwa week kwa 300m.
Just Google novatechfx come
Soma then kama you need more information lemme know.

Nahitaji kujua kuhusu novatec
 
Nunua zongtong mega Tupa geuka level seat 60×50mbeya to dar m3 kila sku kwa mwez m90 kokotoa sasa apo faida
 
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Nijuacho mimi biashara nyingi ambazo zinaweza kumpa mtu faida nzuri ni zile ambazo ni za kawaida sana,tatizo linakuja kwa mtu mwenye mtaji mkubwa kuwaza biashara yenye muonekano wa sifa,na kumbe angeweza kufungia milion 270 na akatumia milion 30 tu kwenye biashara za kawaida kabisa na yamkini angeingiza hata milion 1 mpaka 2 per month
 
Kama zipi mkuu?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
H
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea

Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Hii chai mkuu au kweli?
 
Hiyo return ni ya juu sana sielewi kwa nini unalalamika. Ume invest 300M returns kwa mwaka ni 60M ambayo ni karibia 20%. hamna biashara nyingine yenye such high returns. Hata treasury bills/bonds annual returns ni around 10%.
Kwa ufupi mtaji wake ni mdogo umilingamisha na expectation zake.
 
Mi nimemwambia anipe ml 30 tu nimletee 8 per month only 30 ml nitakuwa namletea retun as a profit ya 8 to 9ml hii si uchawi wala ndumba mzee ninachomwambia nina uhakika nacho na ndo biashara ninayoifanya kwa sasa sema kidogo mtaji wangu bado ni mdogo bt nimuhakikishie uyo jamaa kwenye biashara ninayoifanya mimi kama angewekeza iyo 300ml basi kwa mwezi faida yake baada ya kukata gharama za uzalishaji angekuwa anachukua 40 to 50 ml hii si uchawi wala ndumba naongea kitu ninachokifahamu coz mimi ndo iyo biashara nafanya sema ngoja kwanza niukuze mtaji siku moja nitarudi katika huu uzi na mrejesho mzuri juu ya uyu ndugu

Kanuni ya mjasiriamali mi moja tu wazee biashara yenye risk kubwa ndo inafaida kubwa mno na biashara yenye risk ndogo ujue na faida yake itakuwa ni ndogo sana ssna
Ni takribani miaka miwili Sasa; vipi unaweza kutoa ushuhuda au ulishakula mtaji?
 
Utt kianzio ni 50000. Ila unaruhusiwa kuongeza gawio muda wowote. Na faida kuanzia 50000-ml 5 utaingizwa kwa mwaka. Kuanzia ml5-ml10 gawio ni kila baada ya miez 6 . Nakuanzia mil10 nakuendelea gawio ni kila mwezi.
Kwenye gawio la kila mwezi asilimia ni hiyo hiyo 12 au inakuwa 1
 
Kuna Changudoa anapata hiyo kwa siku tena anapelekewa nyumbani,Biashara siyo mchezo.
 
Back
Top Bottom