Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Sasa hapo sii hesabu za haraka haraka anapata m3 kwa mwezi.
Sema ndio advantage ni kwamba atakuwa anatulia home tuu huku akidemka na kugegeda
 
Challenge kwa kutupia uzoefu mkuu faida kwa wote..me mwenyewe najichanga nianze na scania 113 ya kuvua mtu [emoji16] niko kwenye hiyo circle naona tender zinavolipa..tupe uzoefu wako Boss [emoji120]!
Sina uzoefu wowote[emoji23]

Haya mambo yanahitaji akili kubwa[emoji23]
 
Kuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Biashara gani umeweka pesa yote hiyo na return hiyo
Pesa uliitoa wapi labda ? Urithi? Bettings ? Nina uhakika sio servings za mshahara!
Kosa kubwa unaweza fanya kwenye biashara ni kudhani kuwa pesa inazalisha pesa ,
Commitment na pesa ndo unaweza work your way up na kutengeneza pesa .
 
Nina pharmacy nilifungua kwa mil 20 kwa mwezi napata faida 3.5m hapo nimetoa kila kitu Kodi mishaara ya wafanyakazi nk,wewe mil 300+ unapata mil 5 na bado haujatoa running cost!!!
Biashara yako kuna watu wanakupiga
Mkuu ulianza kupata hiyo faida baada ya muda gani??? Me nimeanza naona mambo magumu tu??
 
Back
Top Bottom