Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kigumu kama kuendesha biashara[emoji23][emoji23][emoji23]Hahah nimeona niwashirikishe na wataalam watupe uzoefu wao mkuu.
Sasa hapo sii hesabu za haraka haraka anapata m3 kwa mwezi.Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Sii useme tuu kuna kurogaHakuna kitu kigumu kama kuendesha biashara[emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara inasiri kubwa ndugu yangu[emoji41]
Challenge kwa kutupia uzoefu mkuu faida kwa wote..me mwenyewe najichanga nianze na scania 113 ya kuvua mtu 😁 niko kwenye hiyo circle naona tender zinavolipa..tupe uzoefu wako Boss 🙏!Sio rahisi hivyo[emoji23]
Nilitaka nikuite mkuu wangu[emoji23]Sii useme tuu kuna kuroga
Sina uzoefu wowote[emoji23]Challenge kwa kutupia uzoefu mkuu faida kwa wote..me mwenyewe najichanga nianze na scania 113 ya kuvua mtu [emoji16] niko kwenye hiyo circle naona tender zinavolipa..tupe uzoefu wako Boss [emoji120]!
Unataka kulazimisha niseme kinachokufarisha.Nina pharmacy nilifungua kwa mil 20 kwa mwezi napata faida 3.5m hapo nimetoa kila kitu Kodi mishaara ya wafanyakazi nk,wewe mil 300+ unapata mil 5 na bado haujatoa running cost!!!
Wewe ni muongo period
Biashara gani umeweka pesa yote hiyo na return hiyoKuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Hii ni kwa mwezi au mwaka!!?Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
We hueleweki ulinambia Nini juzi, Jana?Tufanye kitu bosi wangu[emoji7]
Kwa mwakaHii ni kwa mwezi au mwaka!!?
😄😄 Nakubali kwa 100% mkuu.Hakuna kitu kigumu kama kuendesha biashara[emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara inasiri kubwa ndugu yangu[emoji41]
Kweli kabisaKwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Fundisha hapa hapa wote tuelemike kwa faida ya jamii yakoNdugu yangu Manzile njoo inbox nikufundishe jambo, hutawahi rudi tena hapa ukilalama, chukulia ujumbe wangu serious
Wala isikuumize kichwa , huyo ana pesa hana plan wala commitment, na hapo ndipo panatofautisha nani afanye biashara na yupi asifanye kabisa biasharaSasa Mimi haka ka milioni Sita kangu nikiwekeza kwenye biashara si nitapata faida elfu Tano?
Imagine mwenzangu umewekeza 300milioni faida ni 5 milioni?
Hizo 12% UTT na 15% BOT ni kwa mda gani?Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Mkuu ulianza kupata hiyo faida baada ya muda gani??? Me nimeanza naona mambo magumu tu??Nina pharmacy nilifungua kwa mil 20 kwa mwezi napata faida 3.5m hapo nimetoa kila kitu Kodi mishaara ya wafanyakazi nk,wewe mil 300+ unapata mil 5 na bado haujatoa running cost!!!
Biashara yako kuna watu wanakupiga