TFF anajua panga ratiba ya timu kuwa na viporo 10 mengine haeleweliNimeumis sana hawa biashara na viongozi wao ni wazembe walikuwa wapi siku zote hizo? TFF pia ni wazembe mno nashindwa kuelewa hawana kweli mfuko wa dharula kwa timu changa kama hizi na hao BARRICK kwenye jezi za biashara wanafuata nini?
Ushahidi siyo? yule beki wa prisons Benjamin asukile kamuulize kilichomkuta baada ya kusema ukweli.....nyie ahadi mkitaka toeni tu hata za kuwapakiza kwenye space shuttle za kuwapeka International air space au mwezini poa tu ILA UJINGA NI KUTOA MALEKEZO YA KUVUNJA VIUNGO VYA WACHEZAJI WA SIMBA KAMA VILE ILIVYOTAKIWA KUFANYWA NA POLISI FC ILI SIMBA WATOLEWE NA WA BOTSWANAAliye waita mbumbumbu hakukosea ko wewe unafahamu yote haya ila uongozi wako haufahamu
Weka ushahidi na peleka malalamiko TFF maana hii ni rushwa watu wafungiwe
Kuendelea utoto wa tulikaniwa watuvunje kwa akili y'ako unaweza poteza M15 mtu akamvunje shimba mugalu ambae hata abaki na nyavu anakosa
Ifike sehemu mbumbumbu muache utoto (kutoa motisha mlianza wenyewe ) leo wakitoa wengine mmekaniwa (utakania timu mbovu ivo)
pre match imekuwa concluded huko libya tayari, kama CAF walikuwa na nia ya kusaidia wangeshazuia hiyo meetingNi mapema sana kusema biashara imeondolewa kwenye mashindano kwa sababu tayari TFF wameshatuma taarifa CAF na kuomba match isogezwe hadi j4 ko majibu bado ndo tunasikilizia sshv.
Not only tff, vipi wizara ya michezo?Timu imeonyesha uwezo wa Hali ya juu sana halafu wanaikatili namba hii -shame upon them all,all they do is nothing!
Unafurahia kushikawasubiri mechi ya simba dar es salaam mlezi wao kupitia wauza mgodoro atatoa milioni 15 ya kucheza kung fu kwenye miili ya ma super stars wa simba wanaoshikilia nafasi ya 15 kwa ubora afrika
Yule asukile alisema yanga wametoa mkwanja na wao wamekataaaUshahidi siyo? yule beki wa prisons Benjamin asukile kamuulize kilichomkuta baada ya kusema ukweli.....nyie ahdai mkitaka toeni tu hata za kuwapkaiza kwenye space shuttle za kuwapeka International space au mwezini poa tu ILA UJINGA NI KUTOA MALEKEZO YA KUVUNJA VIUNGO VYA WACHEZAJI WA SIMBA KAMA VILE ILIVYOTAKIWA KUFANYWA NA POLISI FC ILI SIMBA WATOLEWE NA WA BOTSWANA
Unaomba ushahidi wewe kama nani? kama kiukweli uko genuinely concerned kawambie wa withdraw offer yao kwa polisi moshi haraka sana au wawambie poilisi moshi wacheze football ya kistaarabu kun a siku milions 15 zenu zitasababisha watu wapoteze maisha jamani , acheni hayo maelekezo ya kijinga mbona bashite alitoa milioni 20 kwa kmc na soka lilikuwa safi tu hakukuwa na kung fu?Unafurahia kushika
Yule asukile alisema yanga wametoa mkwanja na wao wamekataaa
Wanacheza rafu sana ile mechi (hatukuwahi lalamika et wachezaji wetu wanavunjwa miguu)
Na ile mechi tuliwapiga licha ya kucheza rafu mwanzo mwisho
NB naomba ushahidi wa M15 kutoka gsm Ili wachezaji wenu wavunjwe
Unaongea upumbavu tu mkuuUnaomba ushahidi wewe kama nani? kama kiukweli uko genuinely concerned kawambie wa withdraw offer yao kwa polisi moshi haraka sana au wawambie poilisi moshi wacheze football ya kistaarabu kun a siku milions 15 zenu zitasababisha watu wapoteze maisha jamani , acheni hayo maelekezo ya kijinga mbona bashite alitoa milioni 20 kwa kmc na soka lilikuwa safi tu hakukuwa na kung fu?
Bahati mbaya huna unalolijua kuhusu soka, sikuizi hakuna ushindi wa mezani. CAf ndio watakao toa mwongozo Ila haizuii Taratibu za mechi kufuatwa.pre match imekuwa concluded huko libya tayari, kama CAF walikuwa na nia ya kusaidia wangeshazuia hiyo meeting
narudia tena daudi bashite mtukane yoooteeeeeeeee ila pesa aliyotoa kw akmc tulishuudia soka safi bila kung fu, dodoma na musoma (kw amlezi aliyeshindwa kusafirisha team) tuliona kung fuUnaongea upumbavu tu mkuu
Unakumbuka mechi ya kmc na yanga ilikuwaje (na wala huwez kuta yanga analalamika)
We maneno meeengi ya tuhuma ukiombwa ushahidi Ili TFF awajibishe watu unaleta porojo
Watatuvunjia wachezaji, mechi zote za yanga onyango amekuwa akitumia nguvu hadi kuumia mwenyewe je huwa ni maelekezo ya nani
hao wajinga mechi ya kwanza iliisha lini? na hiyo ndege ya serikali walipata lini hadi kuanza kuomba clearance ya anga? maan siku y a tuzo ndipo tunasikia waziri mkuu aklitoa maagizo kwamba biashara lazima wasafiri iwe isiwe...yaani hadi alhamisi usiku hawa jamaa walikuwa hawana plan? the whole week? GODDAMN ITBahati mbaya huna unalolijua kuhusu soka, sikuizi hakuna ushindi wa mezani. CAf ndio watakao toa mwongozo Ila haizuii Taratibu za mechi kufuatwa.
Majinga Sana haya yakiongozwa na utopoloBashite hakuwahi kutoa maagizo ya utopolo kuvunjwa miguu hela za wauza magodoro musoma na dodoma ziliambatana na maelekezo maalumu, wachezaji wa 5 waliumizwa katika hizo mechi MBAZO WALEZI WAKE NI WA KUWACHEKA TU..MMOJA NDIYE HUYU TEAM YAKE HATA KUPATA PASSPORT ALISHINDWA KUWASAIDIA LEO WASHATOLEWA CAF WANASUBIRI RUNGU ZITO..MWINGINE UWANJA WAKE UMEKONDEANA KAMA UNA KWASHIOKOR WANATOA MAMILIONI HATA KUMWAGIA maji UWANJA WANASAHAU
usisahau polisi moshi walivyolalamika baaada ya mechi yao na simba kuahirishwa, wale dau lau lilikuwa kubwa sana sababu zilitakiwa zipigwe kung fu za kutosha ili mechi ya marudianona wa botswana simba wawe wanauguza majeraha tu,baba anayehangaikia nafasi nne zinazopotezwa na wapumbavu anafanyiwa hujuma ya kuvunjwa viungo vya mwili
Hapa tunawapa lawama bure serikali.Serikali huwa inashangilia matokeo na sio kugharamia hayo matokeo
Ishaisha issue CAf wamekataa utetezi wa kijinga, walikuwa na week nzima ya kwenda hata kulia serikalini ndege ya mkopo ila walikaa kimya wakimsikilizia mlezi wao ambaye yeye anapata milions 15 za kuvunja miguu mastaa wa simba toka kwa wauza magodoroHadi jana usiku wapo hotelini, walikua wanasubiri miujiza